Mbunge wa Nanyamba (CCM), Abdallah Chikota amesema uwepo wa nidhamu ya matumizi ya fedha kwenye Mamlaka za serikali za mitaa umechangia asilimia 95 ya Halmashauri kupata hati inayoridhisha kwenye ukaguzi. Chikota ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa(LAAC), alitoa kauli hiyo jana …
Soma zaidi »Recent Posts
UFARANSA YAIPATIA SERIKALI MKOPO NAFUU WA EURO MILIONI 70 KUJENGA MRADI WA MAJI MJINI MOROGORO
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Doto James (kushoto) na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD) Bi. Stephanie Mouen Essombe, wakibadilishana hati za Mkataba wa mkopo wenye masharti nafuu wa Euro milioni 70 (Sh. za Tanzania bilioni 175.6) kwa ajili ya kugharamia mradi wa Maji …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama kwa dakika moja pamoja na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Mawaziri pamoja na Manaibu Mawaziri ili kumkumbuka na kumuombea aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Marehemu Balozi Augustine Mahiga …
Soma zaidi »SADC WAPENDEKEZA KUONDOLEWA KWA VIKWAZO VYA KIBIASHARA MIPAKANI
Eric Msuya – MAELEZO Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Kanali Wilbert Ibuge amewataka watanzania kuendelea kudumisha umoja na Ushirikiano wa Kibiashara katika ukanda wa Jumuiya ya maendeleo Kusini mwa Afrika SADC. Akizungumza na waandishi wa Habari mara baada ya kufungua Mkutano wa …
Soma zaidi »MKUTANO WA BARAZA LA MAWAZIRI WA SADC NGAZI YA MAKATIBU WAKUU WAANZA
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Kanali Wilbert Ibuge (aliyevaa koti jeusi) akiongea na wajumbe wa mkutano wa Baraza la Mawaziri wa SADC kwa ngazi ya Makatibu Wakuu kwa njia ya (Video Conference) leo Jijini Dar es Salaam Mkutano wa Baraza la Mawaziri …
Soma zaidi »MFUMO WA STAKABADHI GHALANI KUMNUFAISHA MKULIMA WA UFUTA – RC NDIKILO
Na Mwamvua Mwinyi, Pwani Mkoa wa Pwani, umekemea wakulima wa ufuta waliofanya udanganyifu msimu wa ununuzi uliopita kwa kuchanganya ufuta na mchanga, kwani umesababisha doa kwenye soko hivyo kwasasa mfumo utakaotumika ni wa stakabadhi ghalani ,ambao utadhibiti udanganyifu na kuinua pato la mkulima.Aidha minada ya ununuzi wa ufuta mwaka huu …
Soma zaidi »RC KAGERA AKABIDHI BOTI KWA WATENDAJI KATA, ATOA MAAGIZO KUHUSU MATUMIZI
Na Allawi Kaboyo,MulebaKufatia kuwepo kwa vitendo vya uvuvi Haramu katika ziwa Victoria,Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Brigedia Jenerali Marco Gaguti amekabidhi boti tatu mpya kwa watendaji wa Kata za Bumbire na Ikuza na boti moja kubwa kwa sekta ya uvuvi kwa lengo la kudhibiti uvuvi haramu wilayani Muleba.Zoezi hilo lilifanyika …
Soma zaidi »WIZARA MAMBO YA NJE YAMUITA KAIMU BALOZI WA MAREKANI HAPA NCHINI KUTOA UFAFANUZI WA MASUALA MBALIMBALI
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imemwita Dk. Imni Patterson, Kaimu Balozi wa Ubalozi wa Marekani hapa nchini kwa lengo la kutoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali ambayo Ubalozi huo umekuwa ukiyaandika katika mitandao yake ya kijamii bila ya uthibitisho.Kaimu Balozi huyo amekutana na kufanya mazungumzo na …
Soma zaidi »KAMPUNI YA BARRICK YAILIPA SERIKALI DOLA MILIONI 100
Waziri wa Fedha na Mipango Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) wa pili kushoto, akipokea hundi kifani ya dola milioni 100 kutoka kwa Mwakilishi Mkazi wa Kampuni ya Barrick Bw. Hilaire Diarra (wa pili kushoto), Jijini Dodoma Tarehe 26 Mei, 2020, ikiwa ni sehemu ya malipo ya dola milioni 300 …
Soma zaidi »WAKULIMA IRINGA NA MBEYA KUNUFAIKA NA MRADI WA BARABARA ZA LAMI
Na. Geofrey A. Kazaula Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini TARURA unaendelea na mpango wake wa kujenga barabara za lami kupitia mradi wa Agri-Conect ili kuhakikisha wakulima wanaweza kusafirisha mazao yao kwa urahisi kutoka mashambani hadi viwandani na sokoni. Mradi huo wa Agri–Conect unaotekelezwa katika Mikoa ya Mbeya na …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+




