WIZARA YA MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA

Waziri wa Habari Teknolojia na Mawasiliano ya Habari Mhe, Jerry Silaa akiteta jambo na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deo Ndejembi pembezoni mwa Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 14 Julai, 2025

Kikao hicho cha Baraza la Mawaziri ni cha mwisho cha Serikali ya Awamu ya Sita kabla ya kufanyika Uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba 2025.

Soma zaidi »

Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewahimiza Waandishi Waendesha Ofisi kujiweka tayari ili kuendana na kasi ya mabadiliko ya teknolojia kwa kuendelea kujifunza na kuwa wabunifu zaidi kwa kuwa ustadi katika TEHAMA unakuwa ni sifa muhimu katika majukumu yao

Soma zaidi »

Maendeleo Makubwa: Reli ya SGR Kutoka Makutupora-Tabora Kukamilika Januari 2026

Taarifa hii inaleta nuru kuhusu maendeleo ya mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa ya Standard Gauge Railway (SGR) katika eneo la Makutupora-Tabora nchini Tanzania. Meneja Mradi Msaidizi, Ayubu Mdachi, anawasilisha ripoti kuhusu hatua zilizofikiwa hadi sasa mbele ya wataalamu kutoka Wizara ya Uchukuzi ambao wametembelea mradi huo. Hii ni …

Soma zaidi »

TUME YA ULINZI WA TAARIFA BINAFSI, KULINDA NA KUSIMAMIA FARAGHA YA TAARIFA ZA KIBINAFSI KATIKA JAMII.

Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ni muundo wa kisheria uliowekwa na serikali kwa lengo la kusimamia na kulinda taarifa za kibinafsi za watu katika jamii. Hii inaonyesha kutambua umuhimu wa faragha na haki za kibinafsi za watu katika enzi ya kidijitali ambapo data zetu zinahifadhiwa na kusindikwa kwa kiwango …

Soma zaidi »

WAZIRI NAPE AKUTANA NA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MIUNDOMBINU DODOMA

Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Mha. Kundo Mathew (wa katikati) akifafanua jambo kwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Jim Yonazi (kushoto) wakati wa kikao cha kuwasilisha taarifa ya utekelezaji ya Wizara hiyo ya mwaka wa fedha 2021/2022 na bajeti ya mwaka wa fedha 2022/2023 …

Soma zaidi »

ANWANI ZA MAKAZI NA POSTIKODI IWE AJENDA YA KUDUMU KWENYE VIKAO VYA HALMASHAURI

Waziri Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akizungumza na wajumbe wa ALAT inayojumuisha Mateus, Wenyeviti na Wakurugenzi wa Halmashauri nchini kuhusu utekelezaji na manufaa ya Anwani za Makazi na Postikodi katika semina iliyofanyika jijini Dodoma Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Ashatu Kijaji …

Soma zaidi »