WIZARA YA MALIASILI NA UTALII

NAJIVUNIA NCHI YANGU TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Tazama jinsi Watanzania wanavyojivunia nchi yao kupitia historia, utamaduni, vivutio vya utalii, maendeleo ya miundombinu, na jitihada za kulijenga taifa letu kwa mshikamano. πŸ”₯ Pata msukumo wa kuwa Mtanzania mzalendo zaidi! πŸŽ₯ Angalia, toa maoni yako, na usisahau kusambaza ujumbe huu wa uzalendo kwa wengine. #NajivuniaTanzania #Uzalendo #VijanaWaKitanzania #Maendeleo #AmaniNaUmoja …

Soma zaidi »

MHE. RAIS DKT. SAMIA AKISHIRIKI TAMASHA LA UTAMADUNI LA BULABO LA KANDA YA ZIWA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameungana na maelfu ya wananchi katika kusherehekea Tamasha la Utamaduni la Bulabo la Kanda ya Ziwa, lililofanyika leo tarehe 21 Juni, 2025. Tamasha hili limekuwa jukwaa muhimu la kuenzi urithi wa kitamaduni, sanaa, ngoma, mavazi ya asili na …

Soma zaidi »

HAZINA YA MAAJABU YA ASILI DUNIANI!

Je, umewahi kusikia kuhusu mahali palipojaa neema ya maumbile, watu wenye upendo, na urithi wa kipekee wa utamaduni? Karibu ugundue Tanzania β€” nchi ambayo haijachakaa kwa macho ya uzuri! Kutoka vilele vya Mlima Kilimanjaro hadi fukwe za kuvutia za Zanzibar, kutoka mbuga maarufu kama Serengeti hadi mito na maziwa yenye …

Soma zaidi »

Tanzania Yapiga Hatua Kubwa Katika Sekta ya Utalii (2021-2024)

Tanzania imefanikiwa kupiga hatua kubwa katika sekta ya utalii kati ya mwaka 2021 na 2024, ikiweka rekodi za kipekee katika ukuaji wa utalii wa ndani na kimataifa. Kwa mujibu wa takwimu za Wizara ya Maliasili na Utalii, utalii wa ndani umeongezeka kwa asilimia 307.9%, huku utalii wa kimataifa ukiongezeka kwa …

Soma zaidi »

JE, UNAFAHAMU JINSI BWAWA LA UMEME LA MWALIMU NYERERE LINAVYOBADILISHA MAISHA YA WATANZANIA

Karibu katika video hii maalum inayochambua kwa kina mradi mkubwa wa Bwawa la Umeme la Mwalimu Julius Nyerere (JNHPP), mradi wa kihistoria unaotarajiwa kuzalisha megawati 2,115 za umeme. Mradi huu unalenga kuongeza uwezo wa uzalishaji wa umeme nchini kutoka megawati 1,900 hadi zaidi ya 4,000, hatua itakayosaidia kukabiliana na mgao …

Soma zaidi »

CHEMKA HOT SPRING: SIRI YA MAJI YANAYOCHEMKA KIMUUJIZA – SEHEMU YA 01

Chemka Hot Spring ni moja ya maajabu ya asili yanayopatikana Tanzania! πŸŒΏπŸ’¦ Je, umewahi kujiuliza kwanini maji haya yanaonekana kuchemka bila moto? Katika video hii, tunachunguza historia, siri, na uzuri wa Chemka Hot Spring, chanzo chake cha ajabu, na sababu inayoyafanya kuwa kivutio kikubwa kwa watalii.

Soma zaidi »

“MKOA WA ARUSHA NI MKOA MAMA WA MIKUTANO YA KIMATAIFA” MAKONDA.

Tunamshukuru Mheshimiwa Rais kwa kuhakikisha Arusha inazidi kung’ara kama kitovu cha mikutano ya kimataifa. Uwekezaji mkubwa katika miundombinu na mazingira bora ya mikutano umeifanya Arusha kuwa chaguo kuu kwa matukio makubwa ya kimataifa, kukuza utalii, biashara, na diplomasia. πŸ”Ή Tazama picha chache kutoka kwenye maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani …

Soma zaidi »