WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO

UFARANSA YAIPATIA SERIKALI MKOPO NAFUU WA EURO MILIONI 70 KUJENGA MRADI WA MAJI MJINI MOROGORO

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Doto James (kushoto) na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD) Bi. Stephanie Mouen Essombe, wakibadilishana hati za Mkataba wa mkopo wenye masharti nafuu wa  Euro milioni 70 (Sh. za Tanzania bilioni 175.6) kwa ajili ya kugharamia mradi wa Maji …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama kwa dakika moja pamoja na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Mawaziri pamoja na Manaibu Mawaziri ili kumkumbuka na kumuombea aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Marehemu Balozi Augustine Mahiga …

Soma zaidi »

KAMPUNI YA BARRICK YAILIPA SERIKALI DOLA MILIONI 100

Waziri wa Fedha na Mipango Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) wa pili kushoto, akipokea hundi kifani ya dola milioni 100 kutoka kwa Mwakilishi Mkazi wa Kampuni ya Barrick Bw. Hilaire Diarra (wa pili kushoto), Jijini Dodoma Tarehe 26 Mei, 2020, ikiwa ni sehemu ya malipo ya dola milioni 300 …

Soma zaidi »

KIPAUMBELE CHA SERIKALI NI KUWALIPA WASTAAFU MAFAO YAO – WAZIRI MPANGO

Waziri wa fedha na mipango Dkt Philip Mpango Serikali imesema moja ya kipaumbele chake ni kuhakikisha wazee wanastaafu kwa amani kwa kuwalipa mafao yao kadri inavyostahili. Waziri wa fedha na mipango dkt Philip Mpango amesema hayo mei 15 bungeni jijini Dodoma wakati akijibu mchango wa mbunge wa Singida Mashariki Miraji …

Soma zaidi »