Na Veronica KazimotoMbarali Mkuu wa Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya Reuben Mfune amewaambia wafanyabiashara wa wilayani hapa kuwa, ni vigumu kutengenisha kodi na maendeleo kwani maendeleo ya nchi yoyote ile duniani hutegemea kodi. Ameyasema hayo mwishoni mwa wiki wakati wa semina ya wafanyabiashara hao kufuatia kampeni ya elimu kwa mlipakodi …
Soma zaidi »UMOJA WA ULAYA WAIPATIA TANZANIA SH. BIL. 308 KUTEKELEZA MIRADI MBALIMBALI
Umoja wa Ulaya kupitia Mpango wa Ushirikiano wa 11 chini ya Mfuko wa Maendeleo wa Ulaya umeipatia Tanzania msaada wa Euro milioni 111.5 sawa na shilingi bilioni 307.9 kwa ajili ya kufadhili miradi sita ya maendeleo ikiwemo Mradi wa Kuboresha Sekta ya Nishati na Mradi wa kusaidia Kuboresha Mazingira ya …
Soma zaidi »NAIBU KATIBU MKUU-HAZINA NDUNGURU AZUNGUMZA NA WARATIBU WA BIASHARA YA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA
Kamishna wa Idara ya uendelezaji wa sekta ya Fedha Wizara ya fedha na Mipango Dkt. Charles Mwamwaja akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo kwa waratibu wa biashara ya huduma ndogo za fedha yakiwa na lengo la kujenga uelewa katika ngazi ya Wizara, Mkoa na Halmashauri ili waweze kutekeleza majukumu yao …
Soma zaidi »TAASISI ZA FEDHA NCHINI ZA AHIDI KUTOA MTAJI KUFUFUA TAFICO
Taasisi za fedha nchini zimeipongeza Serikali kwa maamuzi ya kulifufua Shirika la Uvuvi Tanzania (TAFICO) na kulipa tena nafasi ya kuweza kusimamia mnyororo wa thamani wa zao la Samaki huku wakiahidi kutoa mtaji ili kuliimarisha shirika hilo. hayo yalisemwa na Mkurugenzi Mtendaji, Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB), Japhet Justine …
Soma zaidi »DKT. MPANGO AWAAGIZA WATUMISHI WA WIZARA HIYO KUACHA KUFANYAKAZI KWA MAZOEA
Na. Saidina Msangi na Farida Ramadhani, WFM, Dodoma Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), amewaagiza wafanyakazi wa Wizara ya Fedha na Mipango kuacha kufanya kazi kwa mazoea ili kuhakikisha Serikali inapata mafanikio makubwa Zaidi ya kukuza uchumi wan chi na kuboresha maisha ya wananchi. Alitoa …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO AUAGIZA UONGOZI WA WILAYA YA ILEMELA KUHAKIKISHA HOSPITALI MPYA YA WILAYA INATOA HUDUMA KIKAMILIFU
Na. Farida Ramadhani na Peter Haule, WFM, Mwanza Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mheshimiwa Mwanaidi Ali Khamis, amemuagiza Mkuu wa Wilaya ya Ilemela kuhakikisha vifaa tiba, umeme na maji vinapatikana kwa haraka katika Hospitali mpya ya Wilaya hiyo iliyojengwa katika eneo la Kabusungu ili huduma za afya zianze kutolewa …
Soma zaidi »DKT. MPANGO AAGIZA WATUMISHI 22 TRA WASIMAMISHWE KAZI
WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Isdor Mpango, amemwagiza Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania-TRA, Dkt. Edwin Mhede kuwasimamisha kazi watumishi 22 wa Mamlaka hiyo wakiwemo baadhi ya Maneja wa TRA wa Mikoa ili kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazowakabili za kushindwa kutekeleza majukumu yao ipasavyo kwa kujihusha na …
Soma zaidi »SERIKALI YASAINI MKATABA NA KOREA UTAKAOWEZESHA TANZANIA KUPATA MIKOPO YENYE MASHARTI NAFUU
Balozi wa Korea nchini, Cho Tae-Ick akizungumza baada ya kusaini mkataba huo baina ya nchi yake na Serikali ya Tanzania leo jijini Dodoma. Serikali ya Tanzania imesaini mkataba na Serikali ya Jamhuri ya Korea utakaowezesha kupata mikopo kutoka mfuko wa ushirikiano wa maendeleo ya kiuchumi wa Korea (EDCF). Mkataba huo …
Soma zaidi »TANZANIA YAIPONGEZA AfDB KWA KUENDELEA KUCHANGIA MIRADI YA MAENDELEO
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt.Philip Mpango(kulia) akizungumza na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), nchini Dkt. Alex Mubiru (kushoto), alipokuwa akimuaga katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) baada ya kuteuliwa kuwa Mkurugenzi katika Ofisi ya Rais wa Benki hiyo makao makuu Jijini …
Soma zaidi »DKT. MPANGO AWAASA MADIWANI NCHINI KUSIMAMIA VIZURI MATUMIZI YA FEDHA ZA MIRADI
Na Benny Mwaipaja, Kigoma WAZIRI wa Fedha na Mipango, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Buhigwe mkoani Kigoma, Dkt. Philip Isdor Mpango, ameyaagiza mabaraza ya Madiwani kote nchini, kuhakikisha kuwa fedha za miradi zinazotumwa na Serikali katika maeneo yao zinasimamiwa vizuri ili kuleta tija na maendeleo ya jamii Dkt. …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+