WIZARA YA AFYA

SERIKALI IMEFANYA UWEKEZAJI MKUBWA KWENYE SEKTA YA AFYA HUSUSANI KATIKA KUIMARISHA HUDUMA ZA KIBINGWA – NAIBU WAZIRI MOLLEL

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii ,Jinsia ,Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel ametembelea na kukagua hali ya utaoaji wa huduma katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa MOI pamoja na kuzumza na watumishi ili kufahamu changamaoto mbalimbali wanazozipata katika kutekeleza majukumu yao ya kazi za kila siku. Akizungumza na …

Soma zaidi »

WAZIRI WA AFYA AZINDUA TIBA MTANDAO MOI, ATAKA IUNGANISHWE BURUNDI, RWANDA, COMORO

WAMJW-Dar es Salaam Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amezindua kituo cha Tiba Mtandao cha Taifa kilichopo Taasisi ya Mifupa ya Muhimbili (MOI) ambacho kitawahudumia wagonjwa wa hospitali za halmashauri, wilaya, rufaa na hospitali nyingine nchini.Kabla ya kuzindua kituo hicho, Waziri wa Afya, Ummy …

Soma zaidi »

HUDUMA YA KUVUNJA MAWE KWENYE FIGO KWA TEKNOLOJIA YA KISASA YAANZA MLOGANZILA

Hospitali ya Taifa Muhimbili -Mloganzila imeanza rasmi huduma ya kuvunja mawe kwenye figo na mfumo wa mkojo kwa kutumia njia ya mawimbi mshituko kwa kitaalamu extracorporeal shock wave lithotripsy (ESWL) . Kuanzishwa kwa matibabu haya ni mwendelezo wa kutekeleza juhudi za Serikali kuboresha huduma bobezi za kibingwa nchini ili kuongeza …

Soma zaidi »

NGOs WEKENI WAZI MATUMIZI YA FEDHA ZA WAFADHILI – WAZIRI UMMY

Na Mwandishi Wetu Dodoma Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ameyataka Mashirika Yasiyo ya Kiserikali nchini kuzingatia Uwazi katika matumizi ya fedha za wafadhili ili kufanikisha malengo ya fedha hizo ambayo ni kuleta maendeleo kwa Wananchi. Waziri Ummy ameyasema hayo leo (17/06/2020) jijini Doddoma …

Soma zaidi »