Waziri Mkuu

video: SIKU WAZIRI MKUU ALIPOTETA NA MFANYABIASHARA MO

• Mhe. Waziri Mkuu alimsisitizia namna serikali inavyojali mchango wa wafanyabiashara • Mohamed Dewji alifika ofisini kwa Mhe. Waziri Mkuu kupeleka taarifa yake ya kuunga mkono juhudi za serikali katika kujenga Tanzania ya viwanda. • Mhe. Waziri Mkuu alimwambia mfanyabiashara huyo umuhimu wa kodi inayokusanywa kutoka kwa wafanyabiashara na serikali …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU – BENKI KUU SASA ITADHAMINI MIKOPO YA MTAJI YA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO KATIKA MABENKI!

“Leo nimepita eneo nimekuta Bank Kuu.. na wenyewe Benk ya Biashara NBC.. wananiambia, sisi tuko tayari kutoa mikopo kwa wajasiliamali (wa Madini); ili wanunue mitambo, wanunue vifaa vingine vya kusaidia kuchimba.. lakini pia na kuboresha.” – Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa. 30/09/2018, Geita “Benki Kuu wanasema, ni nyie tu (wachimbaji …

Soma zaidi »

LATE LIVE: WAZIRI MKUU AKIZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI KISHA WANANCHI WA UKARA

Aelezea agizo la Mhe. Rais kuhusu kutangazwa kwa tenda ya haraka sana kujengwa kwa kivuko kikubwa kitakachokuwa kikitoa huduma eneo la Ukara Azungumza na wanachi na kuwasihi kuwa wavumilivu katika kipindi hiki kigumu cha msiba. Awaahidi kuwa rambirambi zote zinazokusanywa na serikali, zitakuwa za wafiwa na kiasi kidogo kuwa sehemu …

Soma zaidi »

MAGARI YARUHUSIWA RASMI KUTUMIA FYLOVER YA TAZARA

Daladala na magari mengine kutoka Posta kuelekea Airport yapita upande wake bila kusimama na hata yale yanayotoka Airport kuelekea Posta nayo yanapita bila kusubiri kuongozwa na taa. Magari yanayotumia barabara ya Mandela ndiyo pekee yanaongozwa na taa za kisasa zilizofungwa katika kuta nzito za sehemu ya katikati ya flyover hiyo. …

Soma zaidi »

#NiSisiSisi Watanzania Tumenufaika na Mkutano Wa FOCAC – Mhe. Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu – Tarehe 5 Septemba 2018

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Tanzania imepata mafanikio makubwa kutokana na kushiriki kwake katika Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC). Amesema kikao hicho kimekuwa na tija kwa Tanzania kutokana na maeneo ya vipaumbele yaliyojadiliwa katika mkutano huo hususani masuala ya uwekezaji kwenye sekta ya viwanda. …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MEYA WA SHENZHEN, ATEMBELEA OFISI KUU YA KAMPUNI YA HUAWEI TECHNOLOGIES ILIYOPO SHENZHEN NCHINI CHINA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Meya wa Manispaa ya Shenzhen, Bw. Wang Wanzhong kwenye ukumbi wa Hoteli ya Wuzhou nchini China, Septemba 5, 2018.  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Meya wa Manispaa ya Shenzhen kwenye hoteli ya Wuzhou nchini China, Septemba 5, 2018.  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyeshwa …

Soma zaidi »

MAANDALIZI YA UZINDUZI WA MFUMO MPYA WA KIDIGITALI WA USAJILI YAKAMILIKA ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein atazindua mfumo mpya wa kidigitali wa usajili wa matukio ya kijamii Zanzibar September 4,2018 huko Dunga Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja kuanzia saa nne asubuhi. Tazama picha za ofisi mpya za Wakala wa Usajili wa …

Soma zaidi »