RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI KATIKA MJADALA WA KIMATAIFA WA CHAKULA
Katika tukio maalum la Mjadala wa Kimataifa wa Chakula, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, alizungumza na vyombo vya habari, akisisitiza umuhimu wa usalama wa chakula na kilimo endelevu katika kukabiliana na changamoto zinazokabili dunia leo. Katika hotuba yake, Dkt. Samia alieleza dhamira ya …
Soma zaidi »WITO WATOLEWA KWA WACHIMBAJI WADOGO KUACHA MATUMIZI YA KEMIKALI YA ZEBAKI (MERCURY)
Tathmini ya Mradi wa Umeme wa Gesi Asilia wa Kinyerezi I na II na Mchango wake kwa Maendeleo ya Tanzania
Mradi wa Umeme wa Gesi Asilia wa Kinyerezi I na II ni sehemu muhimu ya juhudi za Tanzania kuongeza uwezo wa kuzalisha umeme na kufikia malengo ya nishati endelevu. Mradi huu umelenga kutumia gesi asilia iliyopo nchini kama chanzo cha umeme, hivyo kupunguza utegemezi wa mafuta ya nje na vyanzo …
Soma zaidi »ZINGATIENI MISINGI YA UTAWALA BORA KATIKA USIMAMIZI WA RASILIMALI WATU-MAJALIWA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa wasimamizi wote wa rasilimaliwatu wazingatie misingi ya utawala bora na weledi katika kuisimamia rasilimali hiyo katika Sekta ya Umma Barani Afrika. Amesema kuwa kufanya hivyo kutasaidia kwa kiasi kikubwa kuwezesha kutoa huduma bora na kudumisha imani ya wananchi kwa Serikali zao. Ametoa wito …
Soma zaidi »Tathmini ya Mradi wa Umeme wa Gesi Asilia wa Kinyerezi I na II na Mchango wake kwa Maendeleo ya Tanzania
Bofya link hapo chini , tuendelee kupata taarifa hii https://matokeochanya.blogspot.com/2024/11/tathmini-ya-mradi-wa-umeme-wa-gesi.html…#MSLAC#Katibanasheria#SSH#CCM#KaziIendelee#Nchiyangukwanza#SisiniTanzania#matokeochanya
Soma zaidi »Utekelezaji na Uendelezaji wa Jiji la Kilimo Mkulazi – Morogoro
Katika hatua nzuri ya utekelezaji, eneo la uwekezaji la Jiji la Kilimo Mkulazi linaendelea kuandaliwa. Kampuni za Longping na Eagle Hills tayari zimekamilisha usafishaji wa mashamba na zinatarajia kuanza upandaji hivi karibuni. Jiji la Kilimo Mkulazi linatarajiwa kuleta manufaa yafuatayo: Mtaji wa Uwekezaji: Milioni 576 USD Uzalishaji wa Sukari: Tani …
Soma zaidi »Vivutio vya utalii nchini Tanzania ni moja ya sekta zinazochangia kwa kiasi kikubwa pato la taifa
Takwimu za utalii nchini Tanzania zinadhihirisha ukuaji na mchango wa sekta hii, hasa kupitia mbuga za wanyama, fukwe, na maeneo ya kihistoria. #MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #Kilimo
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Rais wa Sierra Leone Mhe. Julius Maada Bio kushoto pamoja na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina
Hii ni mara baada ya kushiriki Mjadala wa Kimataifa wa Norman E. Borlaung wenye lengo la kutafuta suluhu ya changamoto ya upatikanaji wa chakula Duniani inayochochewa na mabadiliko ya tabianchi. Mjadala huo umefanyika katika Mji wa Des Moines, Iowa nchini Marekani tarehe 31 Oktoba, 2024. #NaHayaNdiyoMatokeoChanyA+ #MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM …
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya majadiliano (round tables discussion) na wadau mbalimbali wa sekta ya kilimo ikiwemo Viongozi wa Serikali ya Marekani, wamiliki wa makampuni binafsipamoja na Taasisi zisizo za Kiserikali (NGOs) leo tarehe 31 Oktoba 2024, mjini Iowa, Marekani
Mazungumzo hayo yalijikita katika kujadili fursa mbalimbali za uwekezaji katika sekta ya kilimo zinazopatikana Tanzania na namna Tanzania inavyoweza kunufaika kupitia wawekezaji hao. #MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #Kilimo
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+