Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), imefanya operesheni maalum katika mikoa mbalimbali, ikiwemo Shinyanga, na kufanikisha ukamataji wa jumla ya kilo 54,506.553 za dawa za kulevya. Katika operesheni hiyo, …
Soma zaidi »HERI YA KUMBUKUMBU YA SIKU YA MUUNGANO WATANZANIA
🔴#LIVE: MHE. RAIS DKT SAMIA AKIHUTUBIA TAIFA KUELEKEA MIAKA 61 YA MUUNGANO
Usikose! KUsubscribe channel yetu kwa updates #MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya
Soma zaidi »🔴#LIVE: MHE. RAIS DKT SAMIA AKIHUTUBIA TAIFA KUELEKEA MIAKA 61 YA MUUNGANO
Usikose! KUsubscribe channel yetu kwa updates #MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya
Soma zaidi »Viongozi wa Vyama vya Siasa Zanzibar Wapigwa Msasa kuelekea Zoezi la Uhakiki 2025
Pongezi za dhati kwa Alphonce Simbu kwa kushika nafasi ya pili katika Mashindano ya Kimataifa ya Mbio ya Boston (Boston Marathon)
Dkt Philip Mpango Kuelekea Vatican
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango, ameondoka nchini kuelekea Vatican kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwenye Mazishi yahayati Baba Mtakatifu Francisko tarehe 26 Aprili 2025
Soma zaidi »NEW: Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) Aretas Lyimo
Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. John Jingu
Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. John Jingu amesema, jukumu la kuiokoa Jamii na ukatili wa kijiinsia ni la kila mmoja hivyo ameiasa Jamii kushirikiana katika kupambana na vitendo hivyo. Dkt. Jingu ameyasema hayo jijini Dodoma Aprili 23, 2025 wakati akiongoza kikao cha …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+