MHE. MCHENGERWA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI WA MIKATABA YA UJENZI WA BARABARA KM. 84 ZA DAR ES SALAAM
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa leo Machi 21, 2025 ameshuhudia Utiaji Saini wa Zabuni 9 zilizobeba thamani ya Shilingi Bilioni 221.8 zinazojumuisha Barabara zenye urefu wa Kilomita 84.4 zinazotarajiwa kujengwa katika Halmashauri za Dar es Salaam chini ya Mradi …
Soma zaidi »Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Mafunzo na Utafiti, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan
Ndugu Tatemoto Ryota (hayupo pichani) alipomtembelea Wakili Mkuu wa Serikali Ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Soma zaidi »KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE
#kazinaututunasongambele#sisinitanzania#matokeochanya#katibanasheria#nchiyangukwanza#kaziiendelee#SSH#MSLAC @ccm_tanzania @SuluhuSamia @matokeochanya @MsLACampaign @sisiniTanzania @NCHIYANGUT @Sheria_Katiba
Soma zaidi »HISTORIA YA MAFANIKIO YA MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA.
KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE
#SamiaLegalAid #TanzaniaYaHaki @samia_suluhu_hassan @katibanasheria_ @damasndumbaro_official @ester_msambazi #MSLAC #KatibanaSheria #SSH #CCM #KaziIendelee #NchiyanguKwanza #SisiniTanzania #matokeochanya
Soma zaidi »HOTUBA YA RAIS KATIKA MKUKUTANO WA UZINDUZI WA SERA YA ARDHI YA MWAKA 1995 (TOLEO LA 2023)
Kata ya oldadai, kijiji cha oldadai,Elimu ya msaada wa kisheria ilitolewa kwa wananchi kuhusu umuhimu wa kuandika mirathi,kupinga ukatili wa kijinsia na njia sahihi ya kuepuka migogoro ya aridhi
#kazinaututunasongambele#sisinitanzania#matokeochanya#katibanasheria#nchiyangukwanza#kaziiendelee#SSH#MSLAC @SuluhuSamia @matokeochanya @MsLACampaign @sisiniTanzania @NCHIYANGUT @Sheria_Katiba
Soma zaidi »Dawati la msaada wa kisheria lilipata nafasi ya kutembelea chuo cha maendeleo ya wananchi-Mwanva (FCD) Kilichopo mtaa wa igomelo,kata ya Malunga,halmashauri ya manispaa ya kahama
#kazinaututunasongambele#sisinitanzania#matokeochanya#katibanasheria#nchiyangukwanza#kaziiendelee#SSH#MSLAC @ccm_tanzania @SuluhuSamia @matokeochanya @MsLACampaign @sisiniTanzania @NCHIYANGUT @Sheria_Katiba
Soma zaidi »WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWATAKA VETA KUTOA MAFUNZO YANAYOZINGATIA SOKO LA AJIRA
Ametoa wito kwa wadau wa elimu na mafunzo ya ufundi stadi nchini watoe mafunzo yanayozingatia mahitaji halisi ya soko la ajira. “Mahitaji ya soko la ajira tutayajua kwa kufanya tafiti za mara kwa mara kwa ushirikiano kati ya Serikali, sekta binafsi, na mashirika ya kimataifa.” Ametoa wito huo …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+