Waziri wa Madini Doto Biteko amesema Serikali kupitia Wizara yake inalenga kurahisisha Mazingira ya Biashara ya Madini ikiwemo kuwalea wachimbaji na kuwataka wafanyabiashara na wachimbaji kuhakikisha wanajisimamia wenyewe kwa manufaa yao na Taifa. Waziri Biteko ameyasema hayo alipokutana na viongozi wa Chama Cha Wafanyabiashara wa Madini Tanzania (TAMIDA), wakiongozwa na …
Soma zaidi »LIVE: RAIS MAGUFULI AKIENDELEA NA ZIARA YA KIKAZI MKOANI IRINGA
LIVE: MDAHALO WA KUMBUKIZI YA EDWARD SOKOINE; SUA – MOROGORO
RAIS MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MAFINGA AKIWA NJIANI KUELEKEA MKOANI IRINGA
LIVE CATCH UP: RAIS MAGUFULI AKISALIMIA WANANCHI WA MAFINGA
TATIZO LA USIKIVU WA MAWASILIANO MAFIA KUKAMILIKA NDANI YA MIEZI 7
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Atashasta Nditiye (Mb.) amewaahidi wakazi wa Kisiwa cha Mafia kuwa Serikali imejipanga kuboresha mawasiliano katika vijiji vitatu vyenye usikivu hafifu wa mawasiliano ya simu za mkononi. Akizungumza na wananchi wa vijiji vya Miburani, Chunguruma na Banja kisiwani Mafia wakati wa ziara ya kukagua usikivu …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+