Ujerumani kupitia Benki yake ya Maendeleo (KFW) imeipatia Tanzania msaada wa Euro milioni 13, sawa na sh. bilioni 32.74 kwa ajili ya kuboresha afya ya uzazi na watoto wachanga na pia kukinga maambukizi ya Virusi vya UKIMWI (VVU) kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto kupitia mradi ujulikanao kama Tumaini la …
Soma zaidi »LIVE: KUTOKA BUNGENI KIPINDI CHA MASWALI NA MAJIBU
LIVE: KUTOKA BUNGENI KIPINDI CHA MASWALI NA MAJIBU
Ni mkutano wa 16 wa Bunge la 11, kikao cha tatu unaendelea katika makao makuu ya nchi jijini Dodoma, ambapo Mawaziri wa wizara mbalimbali wanaulizwa maswali na kuyatolea majibu kuhusiana na masuala mbalimbali.
Soma zaidi »WAZIRI WA NISHATI AKAGUA UTEKELEZAJI WA MRADI WA UMEME WA JULIUS NYERERE
Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani, amekagua maendeleo ya kazi ya ujenzi wa Mradi wa Umeme wa Maji wa Julius Nyerere (MW 2115), wilayani Rufiji, Mkoa wa Pwani na kusema ameridhishwa na kasi yake. Alikagua Mradi huo, Septemba 8 mwaka huu ikiwa ni mara ya nane kwake kuutembelea na kukagua …
Soma zaidi »MAZINGIRA YA UWEKEZAJI SASA NI MVUTO KWA WAWEKEZAJI WA NDANI NA NJE – BASHUNGWA
Wizara ya Viwanda na Biashara katika siku yake ya pili ya Kongamano la fursa za biashara baina ya Tanzania na Uganda imerudia kuwahakikishia wafanyabiashara wake kuwa Wizara yake itawahudumia kwa karibu kwa kila hatua ili kufanikisha lengo la kufanya biashara baina ya nchi hizi mbili. Akifunga Kongamano hilo, baada ya …
Soma zaidi »WAZIRI WA KILIMO HASUNGA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA KILIMO NA MAENDELEO VIJIJINI WA ISRAEL
Waziri wa Kilimo wa Tanzania Mhe Japhet Hasunga (Mb) tarehe 5 Septemba 2019 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Kilimo na Maendeleo Vijijini wa Israel Mhe Uri Yehuda Ariel HaCohen na kukubaliana kwa kauli moja kuwa serikali za nchi hizo mbili kuingia makubaliano ya kuendeleza kilimo hususani katika utafiti, …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI NA RAIS MUSEVENI WAFUNGUA JENGO LA TAASISI YA MWL. NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM
LIVE CATCH UP:RAIS MAGUFULI NA RAIS MUSEVENI KATIKA UFUNGUZI WA JENGO LA MWALIMU NYERERE FOUNDATION NA KONGAMANO LA KUMBUKIZI LA BABA WA TAIFA
RAIS MAGUFULI NA RAIS MUSEVENI WASHIRIKI KONGAMANO LA KIBIASHARA LA TZ NA UG
WAFANYABIASHARA ZAIDI YA 1683 KUHUDHURIA KONGAMANO LA KIBIASHARA JIJINI DAR
Wafanyabiashara zaidi ya 1683 wanatarajiwa kihudhuria katika kongamano la kibiashara la nchi ya nchi mbili, Tanzania na Uganda litakalofanyka katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Mkutano huo wa wafanyabiashara zaidi ya 1056 wa Tanzania na wauganda 426 utafunguliwa kesho Septemba 6, 2019 na Rais wa …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+