Tanzania MpyA+

LIVE:RAIS MAGUFULI KATIKA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU, KUMBUKUMBU YA BABA WA TAIFA MWALIMU JK NYERERE MKOANI LINDI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli anahudhuria maadhimisho ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru, Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere pamoja na Wiki ya Vijana Kitaifa katika Uwanja wa Ilulu Mkoani Lindi

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI NDITIYE AZINDUA UUNGANISHAJI WA SHULE ZA SIMIYU KWENYE INTANETI

Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye amezindua uunganishaji wa shule za sekondari za Mkoa wa Simiyu kwenye mtandao wa intaneti kwa kuzifunga kompyuta mia moja zilizotolewa na Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) na kompyuta za mpakato ishirini zilizotolewa na Kampuni ya Vodacom kwenye mtandao wa intaneti …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI ATAKA WATANZANIA KUJIVUNIA MAFANIKIO YA NCHI YAO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amesema Watanzania wana kila sababu ya kutangaza na kujivunia mafanikio makubwa yaliyopatikana katika kipindi kifupi cha miaka minne iliyopita na ameahidi kuendelea kusimamia rasilimali za Taifa ili ziwanufaishe zaidi. Mhe. Rais Magufuli ameyasema hayo leo tarehe 10 Oktoba, …

Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA AFANYA ZIARA HOSPITALI YA MKOA DODOMA, MZAKWE MAKUTOPORA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,amemuagiza Meneja Msaidizi wa Usimamizi wa Rasilimali za Misitu TFS Kanda ya kati Dodoma Bibi Tebby Yoramu kufuatilia Utafiti wa Udongo kwenye eneo la Mzakwe Makutopora Jijini Dodoma. Makamu wa Rais ameyasema hayo leo wakati alipofanya Ziara ya …

Soma zaidi »

POSTA MNAWAJIBU WA KURAHISISHA UTOAJI WA HUDUMA KIDIGITALI – DKT. YONAZI

  Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano imesema kuwa Shirika la Posta Tanzania linawajibu wa kuisaidia Serikali katika kuharakisha maendeleo kwa kurahisisha utoaji wa huduma za barua, nyaraka, vipeto na vifurushi ndani na nje ya nchi kwa kwenda kidigitali ambako dunia ndio iko huko. duma Hayo ameyasema na Naibu Katibu …

Soma zaidi »

WAZIRI HASUNGA ATANGAZA BEI ELEKEZI KWA MBOLEA YA KUKUZIA (UREA) KWA MSIMU WA KILIMO 2019/2020

Katika kuhakikisha kuwa tija ya uzalishaji wa mazao ya kilimo inaongezeka ili kujitosheleza kwa chakula na malighafi za viwandani; serikali imeendelea kuhamasisha matumizi ya mbolea ili kufikia kilo 50 za virutubisho kwa hekta moja kama ilivyopendekezwa na wakuu wa nchi za Afrika kupitia Azimio la Abuja la mwaka 2006. Ili …

Soma zaidi »