Tanzania MpyA+

BUNGE KUHARAKISHA UANZISHWAJI SHERIA BODI YA WANAJIOSAYANSI NCHINI

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limesema litaharakisha Mchakato wa Uanzishwaji Sheria ya Bodi ya Usajili wa Wanajiosayansi nchini ikiwemo kuishauri Serikali na kueleza kuwa, ni fursa nzuri ya kusimamia rasilimali madini na itapunguza hasara kwa wadau. Kauli hiyo iliyotolewa Januari 23, jijini Dodoma na Makamu Mwenyekiti wa Kamati …

Soma zaidi »

BARAZA LA MADIWANI KINONDONI LA PITISHA BAJETI YA BILIONI 170.9 KWA MWAKA FEDHA 2020/ 2021

Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, katika Mkutano wake maalumu wa Baraza  leo  Alhamisi,  tarehe  23 Januari 2020,   limejadili na  kuidhinisha kwa kauli moja  bajeti yake ya  Tshs  170, 918,524,100/= kwa mwaka wa fedha 2020/2021  ambapo  Tshs.42,951,312, 000/= ni za Mapato ya ndani ya Manispaa na Tshs. …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI AKASIRISHWA NA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI NA JESHI LA ZIMAMOTO

Rais Dkt. John  Magufuli amesikitishwa na kitendo cha viongozi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kutia saini makubaliano ya zabuni ya kununua vifaa vya zimamoto na uokoaji vyenye thamani ya Euro Milioni 408.5 (sawa na zaidi ya shilingi Trilioni 1) kutoka kampuni …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI ALITAKA JESHI LA MAGEREZA KUJITATHIMINI

Rais Dkt. John Magufuli amelitaka Jeshi la Magereza Nchini kutathimini utendaji kazi wake kutokana na mwenendo usioridhisha wa jeshi hilo katika kutekeleza miradi mbalimbali inayopewa na Serikali. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Nyumba za Makazi ya Maafisa na Askari wa Jeshi hilo, leo (Alhamisi Januari 23, 2020) Ukonga Jijini …

Soma zaidi »

TUNAJUA WATENDAJI WAKIPATA MAKAZI BORA WATAONGEZA UFANISI KATIKA KAZI

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Hussein Mwinyi amempongeza Rais Dkt John Magufuli kwa jitihada anazofanya kuhakikisha Maafisa na Askari wanaishi katika makazi bora na familia zao. Dkt. Mwinyi amesema hayo katika ufunguzi wa nyumba za Maafisa na Askari wa Gereza la Ukonga Jijini Dar Es Salaam, …

Soma zaidi »