Tathimini za uwekezaji katika kutunza mazingira katika nchi ni moja ya kazi muhimu za Ofisi ya tathmini ya Baraza la Kituo cha Kimazingira Duniani (GEF) linalotoa taarifa na matokeo ya jumla ya miradi na utendaji katika ngazi ya kitaifa. Mkakati wa Kukuza Uchumi na Kupunguza Umaskini Tanzania (MKUKUTA) ambao ni …
Soma zaidi »SERIKALI YATENGA FEDHA ZA NDANI KUPELEKA UMEME WA GRIDI KATAVI
Imeelezwa kuwa, Serikali imetenga fedha za ndani, kiasi cha Dola za Marekani milioni 70 kwa ajili ya kazi ya ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme ya msongo wa kV 132 kutoka Tabora hadi Katavi ambayo itawezesha Mkoa wa Katavi kuunganishwa na gridi ya Taifa. Hayo yalisemwa na Waziri wa Nishati, …
Soma zaidi »KAMATI YA BUNGE YA KATIBA NA SHERIA IMEIPONGEZA SERIKALI KWA KUWAWEZESHA VIJANA KUPATA UJUZI STAHIKI
Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria imeipongeza Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Uongozi wa Mh Rais Dr John Pombe Joseph Magufuli kwa kuwawezesha Vijana kupata ujuzi kupitia Programu ya Kukuza Ujuzi inayosimamiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira. Hayo yamesemwa jana na wajumbe wa kamati …
Soma zaidi »LIVE: RAIS MAGUFULI AKIENDELEA NA ZIARA MKOANI RUVUMA
RAIS MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA TUNDURU – NAMTUMBO KM 193
UJENZI WA HOSPTALI YA WILAYA YA ILEMELA UMEFIKIA ASILIMIA 15
TAASISI YA MIFUPA (MOI) NA BMVSS YA INDIA KUTOA MIGUU BANDIA 600 BURE
Taasisi ya Mifupa MOI kwa kushirikiana na Taasisi ya BMVSS ya India wataendesha zoezi la kutoa miguu bandia 600 BURE. taarifa zinaksema wote wenye uhitaji wafike MOI ndani ya mwezi April 2019 kwa vipimo na miguu hiyo itatolewa mwezi May 2019
Soma zaidi »WAZIRI MKUU AKUTANA NA NAIBU SPIKA WA BUNGE LA CAMEROON NA MWENYEKITI WA KAMATI TENDAJI YA CPA
HEKARI 127,859 ZIMETENGWA KWA AJILI YA VIWANDA – WAZIRI MKUU MAJALIWA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema ili kutimiza azma ya kufikia uchumi wa kati ifikapo 2025 kupitia sekta ya viwanda, jumla ya ekari 127,859 zimetengwa kwa ajili ya matumizi ya viwanda. Vilevile, Waziri Mkuu amesema Serikali kwa kushirikiana na Mamlaka za upangaji za Halmashauri za Wilaya za Kibaha na Kilosa, imetenga …
Soma zaidi »MAPENDEKEZO BAJETI YA SERIKALI 2019/2020 KUZINGATIA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa mapendekezo ya Bajeti ya Serikali yanazingatia Mpango wa Maendeleo wa Taifa sanjari na utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi. Amesema hayo Bunge jijini Dodoma alipokuwa akiwasilisha Hotuba ya Mapitio na Mwelekeo wa kazi za Serikali na makadirio ya Mapato na Matumizi ya fedha za Ofisi …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+