Hospitali ya wilaya inajengwa katika kata ya Bugogwa Mtaa wa Isanzu.Ujenzi huo umefikia takriban asilimia 15. Jumla ya majengo 7 yanajengwa kati ya majengo 22 yanayotakiwa na yanatarajiwa kukamilika kufikia tarehe 30.08.2019.
UJENZI WA HOSPTALI YA WILAYA YA ILEMELA UMEFIKIA ASILIMIA 15
Matokeo ChanyA+
April 5, 2019
Taarifa Vyombo vya Habari, Taarifa ya Habari, Tanzania MpyA+
1,474 Imeonekana
Unaweza kuangalia pia
Watumishi wa afya nchini wametakiwa kuongeza kasi ya kuwahudumia wananchi kwenye vituo vya kutolea huduma …