Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amepewa pongezi na Wakazi wa Mkoa wa Lindi kwa kuwaletea huduma ya kivuko cha MV Kitunda kinachofanya safari zake kutoka Lindi kwenda ng’ambo ya pili katika eneo la Kitunda. Pongezi hizo zimetolewa hivi karibuni wakati Maafisa Habari wa Idara …
Soma zaidi »BALOZI IDDI ATEMBELEA ENEO LITAKALOJENGWA OFISI ZA SERIKALI YA ZANZIBAR DODOMA
Makamuwa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Balozi Seif Ali Iddi ameoneshwa na kutembelea eneo ambalo zitajengwa Ofisi za Serikali hiyo eneo la Mahoma Makulu Jijini Dodoma. Akizungumza mara baada ya kutembelea eneo hilo, Balozi Iddi ambaye aliambatana na Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe Balozi …
Soma zaidi »LIVE CATCH UP: RAIS MAGUFULI ATEMBELEA GEREZA KUU LA BUTIMBA
LIVE CATCH UP : RAIS AFANYA UKAGUZI WA MRADI WA UJENZI WA MELI MPYA KATIKA ZIWA VICTORIA – BANDARI YA MWANZA
RAIS DKT. MAGUFULI AZINDUA NYUMBA ZA MAKAZI YA ASKARI WA JESHI LA POLISI MKOANI GEITA
LIVE: UZINDUZI WA HUDUMA ZA TIBA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA BUGANDO MWANZA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli anazindua Huduma za Tiba Katika Hospitali ya Rufaa Bugando Jijini Mwanza
Soma zaidi »SERIKALI KUOKOA TAKRIBANI BILIONI 25 KWA MWAKA ZA KUZALISHA UMEME KIGOMA.
Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu amesema Serikali inatarajia kuokoa takribani shilingi bilioni 25 zinazotumika kununua mafuta mazito ya kuendesha mitambo ya kuzalisha umeme katika Mkoa wa Kigoma kwa mwaka. Akizungumza baada ya kutembelea kituo cha kuzalisha umeme mkoani Kigoma , Julai 12, Mgalu alisema serikali itaokoa fedha hizo, baada …
Soma zaidi »RC HOMERA AZINDUA MRADI WA MAJI CHAMALENDI, KATAVI
Mkuu wa mkoa wa Katavi Juma Zuberi Homera tarehe 11.07.2019 amezindua mradi wa maji katika kijiji cha Chamalendi kata ya Chamalendi Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe wilayani Mlele. Mradi huo wenye thamani ya Tsh 402,600,000/= umeshuhudiwa na wananchi wa eneo hilo ambapo mradi huu utahudumia wananchi zaidi ya 10,000 Katika …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI LUSHOTO MKOANI TANGA
RAIS MUSEVENI AFANYA ZIARA YA SIKU MOJA HAPA NCHINI KWA KUMTEMBELEA RAIS MAGUFULI KIJIJINI KWAKE CHATO GEITA
Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni leo tarehe 13 Julai, 2019 amefanya Ziara Binafsi ya siku 1 hapa nchini kwa kumtembelea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli nyumbani kwake katika Kijiji cha Mlimani Wilaya ya Chato Mkoani wa Geita. Mhe. Rais …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+