Makamu wa Rais ametoa maagizo wakati akifungua Kongamano la Wadau wa Mazingira lililofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Dar es Salaam. Amesema uchafuzi wa mazingira katika Majiji, Miji na Halmashauri bado ni tatizo huku uharibifu wa misitu ukiendelea kuwa changamoto licha ya kuwepo kwa vyombo vya …
Soma zaidi »Kamati Ndogo ya Kilimo, Maliasili, Mazingira na Utalii chini ya Uongozi wa @dr_makame inaendesha vikao na wadau wa sekta hizo jijini Bujumbura Burundi Kamati hiyo inatazamia kuwa na kikao kama hicho tarehe 8 Februari jijini Dodoma -Tanzania #Nahayandiyomatokeochanya+
NUKUU ZA MH RAIS DK SAMIA SULUHU HASANI, KUHUSU MAZINGIRA NA MABADILIKO YA TABIA YA NCHI KATIKA HOTUBA YAKE YA MWISHO WA MWAKA 2023 KUKARIBISHA MWAKA 2024 KWA WATANZANIA.
NA HAYA NDIYO MATOKEO CHANYA+
Soma zaidi »KONGAMANO LA KITAIFA LA KUJENGEWA UELEWA JUU YA ATHARI ZA SAUTI ZILIZOZIDI KATIKA NYUMBA ZA IBADA
Ni kongamano lililoandaliwa na Jumuiya ya Maridhiano ya Amani Tanzania kwa Kushirikiana na Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC).
Soma zaidi »NEMC YAANDAA MKUTANO WA KAMATI YA TAIFA YA BINADAMU NA HIFADHI HAI
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeandaa Mkutano wa kupitia na kuidhinisha uteuzi wa eneo la Rufiji, Mafia, Kibiti na Kilwa(RUMAKI) kuingia katika mtandao wa dunia wa binadamu na Hifadhi hai. Mkutano huo umefunguliwa na Dkt Menan Jangu aliyemuwakilisha Mkurugenzi Mkuu wa NEMC na umefanyika mjini …
Soma zaidi »KILA MWANANCHI AENDELEE KULINDA MAZINGIRA KWA MUSTAKABALI WA NCHI YETU – JAFO
Uongozi wa Jumuiya ya Ismaili wakiwa katika picha ya Pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Selemani Jafo. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Selemani Jafo, amesema kila Mwananchi ashiriki katika kulinda na kuhifadhi mazingira kwa mustakabali …
Soma zaidi »KONGAMANO LA WADAU KUHUSU UPATIKANAJI WA RASILIMALI ZA KUPAMBANA NA MABADILIKO YA TABIANCHI LAZINDULIWA
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga akiteta jambo na Mkurugenzi wa REPOA Dkt. Donald Mmari (kushoto) mara baada ya kufungua Kongamano la Wadau wa Kitaifa kuhusu upatikanaji wa Rasilimali za kusaidia utekelezaji wa Mikakati ya Taifa ya Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi hii leo katika ukumbi …
Soma zaidi »SERIKALI KUFANYA UPEMBUZI YAKINIFU KATIKA ZIWE JIPE
Serikali imeelekeza wataalamu wa mazingira kufika katika Ziwa Jipe wilayani Mwanga Mkoa wa Kilimanjaro na kufanya upembuzi yakinifu utakaosaidia kuyaondoa magugu maji yaliyozingira ziwa hilo. Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Hamad Hassan Chande Chande ametoa maelekezo hayo Septemba 20, 2021 alipofanya ziara ya kikazi …
Soma zaidi »WAZIRI JAFO AFANYA ZIARA KUKAGUA UTEKELEZAJI WA MUONGOZO WA USAFISHAJI MITO JIJINI DAR ES SALAAM
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Selemani Jafo akiongea na Kikosi kazi cha usimamiaji na utekelezaji wa muongozo wa usafishaji mchanga kwenye Ofisi za NEMC Makao Makuu Jijini Dar es Salaam. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Selemani …
Soma zaidi »WAZIRI JAFO – ASASI ZA KIRAIA ZISHIRIKI KUHIFADHI MAZINGIRA
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga akizungumza wakati wa kikao maalumu cha kujadili mchango na majukumu ya Asasi zisizo ya Kiserikali katika Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira Nchini kilichofanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center Jijini Dodoma leo Mei 27, 2021. Waziri wa Nchi Ofisi …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+