Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 04 Januari, 2019 ameshuhudia utiaji saini wa mkataba wa mauziano ya mahindi kati ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) na Shirika la Chakula Duniani (WFP) uliofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam. Mkataba huo …
Soma zaidi »BALOZI SEIF AZINDUA BARABARA CHAKE CHAKE PEMBA
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amewakumbusha Wananchi wanaoishi pembezoni mwa Miundombinu ya Barabara Nchini kuwa walinzi kwa kutoa Taarifa kwa vyombo husika dhidi ya wale wanaoharibu kwa makusudi miundombinu hiyo iliyojengwa kwa gharama kubwa. Alisema wapo baadhi ya Watu waliojitoa mshipa wa fahamu kwa …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AREJESHA UTARATIBU WA ZAMANI WA MALIPO YA WASTAAFU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 28 Desemba, 2018 ameagiza kurejeshwa kwa utaratibu wa ulipaji wa mafao ya wafanyakazi wanaostaafu uliokuwa ukitumika kabla ya kuunganishwa kwa mifuko ya hifadhi ya jamii, na ametaka utaratibu huo utumike mpaka mwaka 2023 wakati wadau wakijadiliana …
Soma zaidi »LIVE IKULU: RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA VIONGOZI WA SHIRIKISHOLA VYAMA VYA WAFANYAKAZI NA VYAMA SHIRIKI
AGIZO LA RAIS MAGUFULI LAANZA KUTEKELEZWA
LIVE: HAFLA YA MAPOKEZI YA NDEGE MPYA YA AIRBUS A220-300
AMIRI JESHI MKUU RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGA KOZI YA MAAFISA NA WAKAGUZI WA JESHI LA POLISI
LIVE:RAIS MAGUFULI KATIKA HAFLA YA KUWATUNUKU VYEO WAHITIMU WALIOFANYA VIZURI KATIKA MAFUNZO YA UOFISA NA UKAGUZI
LIVE: HAFLA YA UWEKAJI JIWE LA MSINGI KATIKA MRADI WA UJENZI WA DARAJA JIPYA LA SALENDER KUTOKA ENEO LA AGAKHAN HADI COCO BEACH
Bofya link hii kutazama https://youtu.be/-PgICwE4JWo Pia unaweza kubofya link hii; Fuatilia pia kupitia Radio ChanyA+ link👇👇 http://myradiostream.com/mobile/MatokeochanyAtz 24|07 #MATAGA
Soma zaidi »MIMI JUKUMU LANGU NI KUFANYA KAZI – RAIS DKT. MAGUFULI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 19 Desemba, 2018 ameweka jiwe la msingi la upanuzi wa barabara ya Morogoro Jijini Dar es Salaam katika sehemu ya kuanzia Kimara hadi Kibaha yenye urefu wa Kilometa 19.2. Upanuzi huo utahusisha kuongeza njia za magari …
Soma zaidi »