Katika video hii, Msanii na Mwanaharakati wa Jamii, Mrisho Mpoto, anazungumzia mafanikio makubwa yaliyopatikana katika sekta ya maji nchini. Kupitia juhudi za serikali na wadau mbalimbali, wananchi wengi sasa wanapata maji safi na salama, jambo ambalo limeleta mabadiliko chanya katika afya, kilimo, na maendeleo ya kijamii. Mpoto anaeleza jinsi miradi …
Soma zaidi »MAPINDUZI KATIKA SEKTA YA MAJI
Sekta ya maji imepitia mageuzi makubwa yanayolenga kuboresha upatikanaji wa maji safi na salama kwa wananchi. Kupitia uwekezaji wa kisasa, matumizi ya teknolojia bunifu, na usimamizi bora wa rasilimali za maji, serikali na wadau mbalimbali wamefanikiwa kupunguza changamoto za uhaba wa maji. Maboresho haya yanajumuisha ujenzi wa mabwawa mapya, usanifu …
Soma zaidi »CHIFU – ROCKETI MASOKO MWANSHINGA , AKEMEA WANAOPANGA KUZUIA WANANCHI KUJITOKEZA KWENYE UCHAGUZI.
Chifu wa Mkoa wa Mbeya, Rocketi Masoko Mwanshinga, amewataka wananchi wote wa mkoa huo kutumia haki yao ya kikatiba kujiandikisha na kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa 2025. Chifu Mwanshinga amekemea vikali wale wote wanaotaka kuwazuia wananchi kushiriki katika mchakato wa uchaguzi, akisema Mungu atawapa usingizi na hawataweza kuzuia uchaguzi …
Soma zaidi »Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo, Machi 21, 2025 amewasili Mkoani Njombe ambapo pamoja na mambo mengine atakuwa Mgeni Rasmi katika kilele cha Siku ya Misitu Duniani inayofanyika kitaifa Mkoani Njombe
Akiwa Mkoani humo, Mheshimiwa Waziri Mkuu ametembelea kiwanda cha uchakataji mazao ya misitu cha TANWAT (Tanganyika Wattle Company Limited) kilichopo Njombe mjini ambapo ameshuhudia shughuli mbalimbali zinazofanywa na kiwanda hicho. Akizungumza na wafanyakazi wa kiwanda hicho Waziri Mkuu amewasihi wafanyakazi wa kiwanda hicho kufanya kazi kwa weledi ili kufanikisha malengo …
Soma zaidi »Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akimfariji Katibu wa NEC (Uchumi na Fedha) wa Chama Cha Mapinduzi Dkt. Frank Hawassi kufuatia kifo cha Mke wake Bi. Damaris Hawassi wakati alipowasili kushiriki msiba huo Miyuji Jijini Dodoma
MHE. MCHENGERWA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI WA MIKATABA YA UJENZI WA BARABARA KM. 84 ZA DAR ES SALAAM
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa leo Machi 21, 2025 ameshuhudia Utiaji Saini wa Zabuni 9 zilizobeba thamani ya Shilingi Bilioni 221.8 zinazojumuisha Barabara zenye urefu wa Kilomita 84.4 zinazotarajiwa kujengwa katika Halmashauri za Dar es Salaam chini ya Mradi …
Soma zaidi »Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Mafunzo na Utafiti, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan
Ndugu Tatemoto Ryota (hayupo pichani) alipomtembelea Wakili Mkuu wa Serikali Ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Soma zaidi »HISTORIA YA MAFANIKIO YA MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA.
KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE
#SamiaLegalAid #TanzaniaYaHaki @samia_suluhu_hassan @katibanasheria_ @damasndumbaro_official @ester_msambazi #MSLAC #KatibanaSheria #SSH #CCM #KaziIendelee #NchiyanguKwanza #SisiniTanzania #matokeochanya
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+