TANZANIA YA VIWANDA: Wakulima Mkoani Ruvuma Waendelea Kunufaika na Kiwanda Cha Kubangua Korosho!
Zaidi ya tani 20 ambapo kg. 20,920,519 zilinunuliwa kutoka katika minada ya wakulima. Wakulima wanufaika kwa mauzo ya korosho hizo kwa kupata Tsh. Bilioni 79.78 kama malipo. Serikali yajipanga kuwathibiti wote wanaohujumu zao la korosho. Yawataka wakulima kujenga uaminifu kwa kuuza korosho safi ili kuwa na soko imara.
Soma zaidi »InfoChanyA+ UZALISHAJI WA ASALI WAONGEZEKA TANZANIA.
LIVE: MAADHIMISHO YA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU
Kitaifa yanafanyika Mkoani Tanga. Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibae Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein ndiye mgeni rasmi Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai wamehudhuria pamoja na viongozi wengine waandamizi wa Selikali ya Jamhuri ya Muungamo wa Tanzania. Fuatilia moja kwa moja …
Soma zaidi »NYERERE DAY: RAIS MAGUFULI NA MKEWE WAMTEMBELEA MAMA MARIA
Katika kuazimisha kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa kilichotokea tarehe 14 Oktoba 1999, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wameshiriki Ibada ya Misa Takatifu maalum ya kumuombea Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika kanisa la St. Peter …
Soma zaidi »video & link; TESEApp Inamsaidiaje Mwanafunzi Kusoma mtandaoni?
Wataalamu wahojiwa na kuelezea. Wasimulia na kuonyesha mifano dhahiri kilichomo ndani ya App hiyo ambacho ni msaada mkubwa kwa mwanafunzi. Sasa tuition inaweza kuwa ni historia kwa wanafunzi wa sekondari nchini. Wasema TESEApp ina kila hitaji la mwanafunzi wa kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita nchini. Tanzana kipindi …
Soma zaidi »WANANCHI WAONYWA KUACHA KUFANYA SHUGHULI ZA KIUCHUMI NDANI YA ENEO LINALOJENGWA SGR!
Ni ndani ya mita 30 kila upande wa mradi wa SGR Jeshi la Polisi lakamata baadhi na kupiga marufuku kwa mtu yeyote kufanya shughuli za kiuchumi ndani eneo la mradi wa reli ya kisasa ya umeme (Standard Gauge Ralway) Hairuhusiwi kwa yeyote kupita au kutumia kwa wakati wote njia zinazotumiwa …
Soma zaidi »UTEKELEZAJI WA MRADI WA REA III WILAYANI IGUNGA
Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu ameliagiza Shirika la Umeme nchini (TANESCO) kuongeza ukubwa wa transifoma kutoka 100kV hadi kufikia 200kV katika kijiji cha Mwamashimba wilayani Igunga mkoani Tabora kutoka mahitaji makubwa ya umeme. Mgalu alitoa maagizo hayo wakati wa ziara ya kikazi ya kukagua utekelezaji wa usambazaji na …
Soma zaidi »UJENZI WA BARABARA YA KIDATU – IFAKARA WASHIKA KASI
Ni barabara yenye urefu wa km 66.9 ambayo haikuwahi kujengwa tangu Uhuru, ni moja ya maamuzi ya Serikali ya Awamu ya Tano baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli kuamua kwa dhati kutekeleza kikamilifu ILANI ya Chama Cha Mapinduzi ya mwaka 2015 …
Soma zaidi »TAARIFA MUHIMU
• Kutoka Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu • Inahusu Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupokea taarifa rasmi kutoka kwa Katibu Mtendaji wa SADC kwamba Rais Magufuli ameteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Jumuia hiyo kwa kipindi cha mwaka mmoja kuanzia Agosti 2018 hdi Agosti 2019. • Pia; …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+