Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akizungumza na Viongozi mbalimbali walioshiriki katika kutafuta ufumbuzi hoja 11 za Muungano wakati wa Utiaji saini wa hati za makubaliano ya kuondoa hoja za Muungano zilizopatiwa ufumbuzi. Hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Utalii,Maruhubi, Zanzibar Agosti …
Soma zaidi »RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI WA MAKATIBU TAWALA WA MIKOA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa baadhi ya Makatibu Tawala wa Mikoa, kuwahamisha baadhi na wengine kuwabakisha katika vituo vyao vya kazi. Pia amefanya uteuzi wa viongozi wakuu wa taasisi kama ifuatavyo; Makatibu Tawala wa Mikoa walioteuliwa. Amemteua Bw. Rodrick Mpogolo kuwa …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AMTEMBELEA MAMA JANETH MAGUFULI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akizungumza na Mjane wa Hayati Dkt. John Magufuli Mama Janeth Magufuli wakati alipomtembelea Nyumbani kwake Masaki Jijini Dar es Salaam leo Mei 08,2021. Katikati ni Mke wa Makamu wa Rais Mama Mbonimpaye Mpango. (Picha na Ofisi …
Soma zaidi »RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichokutana leo Mei 06,2021 Ikulu Chamwino Jijini Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichokutana leo Mei 06,2021 Ikulu Chamwino Jijini Dodoma
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO ATEMBELEA HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisindikizwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, alipokuwa akiondoka katika Uwanja wa Ndege Jijini Dodoma leo Mei 04,2021 kuelekea Nchini Kenya kwea Ziara ya Siku mbili. Makamu wa Rais wa …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WAZRI JAFO NA CHANDE
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdori Mpango, akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mheshimiwa Selemani Jafo kushoto na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mheshimiwa Hamad Hassan Chande kulia, kwenye Ofisi ya …
Soma zaidi »WAZIRI JAFO ATAKA MACHINJIO YA KISASA YA KIZOTA KUREKEBISHA CHANGAMOTO ZAO
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo ameupa uongozi wa machinjio ya kisasa ya Kizota jijini Dodoma miezi sita kurekebisha changamoto ya utiririshaji wa majitaka ovyo. Jafo ametoa agizo hilo leo Aprili 8, 2021 alipofanya ziara ya kikazi katika machinjo hiyo kwa ajili …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS SAMIA AFUNGUA NA KUFUNGA MKUTANO MKUU WA TATU WA WANAWAKE KATIKA UONGOZI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua na kufunga mkutano Mkuu wa tatu wa Wanawake katika Uongozi kwa mwaka 2021 na Mahafali ya 4,5,6 ya Programu ya Mwanamke wa Wakati Ujao leo March 04,2021 katika Ukumbi wa Serena Jijini Dar es salaam, ambapo …
Soma zaidi »SERIKALI KUCHUKUA HATUA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO ZA MABADILIKO YA TABIA NCHI
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi, Joseph Malongo amesema kuna haja ya kuchukua hatua za pamoja katika ngazi ya kitaifa, kimataifa na kikanda ili kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya tabia nchi. Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uongozi (Uongozi Institute ), Kadari Singo akitoa neno la ukaribisho …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AWATAKA WATANZANIA KUONDOA HOFU KATIKA KIPINDI HIKI AMBACHO DUNIA INAPITA WAKATI MGUMU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kutoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Balozi John William KijaZi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Ijumaa Februari 19, 2021 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+