LIVE; KIKAO CHA MHE. RAIS , MAWAZIRI, WAKUU WA MIKOA NA UONGOZI WA MAMLAKA YA MAPATO NCHINI.
AU
Soma zaidi »RAIS DKT. MAGUFULI PAMOJA NA RAIS KENYATTA WAFUNGUA KITUO CHA KUTOA HUDUMA KWA PAMOJA MPAKANI NAMANGA
Kituo hicho ni miongoni mwa vituo 15 vya OSBP vinavyojengwa katika mipaka ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa lengo la kurahisisha ufanyaji wa biashara miongoni mwa nchi hizo, kuharakisha huduma za mpakani, kuongeza mapato na kuimarisha usalama. Ujenzi wa kituo cha Namanga OSBP umefadhiliwa na Benki ya …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA UJUMBE KUTOKA GIRL GUIDES ASSOCIATION
Tanzania Inazalisha Chakula Kingi Cha Kutosha – MAKAMU WA RAIS
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo kwa nyakati tofauti na Balozi wa Italia nchini Mhe. Roberto Mengoni, Balozi wa Falme za Kiarabu nchini Mhe. Khalifa Abdulrahman Mohamed Al-Marzooqi pamoja na Mkurugenzi wa UNESCO Kanda ya Afrika Bi. Ann …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MABALOZI NA MKURUGENZI WA CRDB
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na Mhe. Hamdi Abuali, Balozi wa Palestina; Mhe. Shinichi Goto, Mhe. Balozi wa Japan na Bwana Abdulmajid Nsekela, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB. Makamu wa Rais alianza kuonana na Mhe. Hamdi …
Soma zaidi »JIJI LA DODOMA, ARUSHA VINARA UKUSANYAJI WA MAPATO YA NDANI
Halmashauri ya Jiji la Dodoma na Arusha zimeibuka vinara katika ukusanyaji wa mapato ya ndani kwa robo ya kwanza ya mwaka wa Fedha 2018/19. Hayo yamebainishwa leo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo wakati wa kutoa taarifa ya ukusanyaji …
Soma zaidi »“Njia pekee ya kuwalinda watoto wa Kike ni kuwapeleka shule” – MAKAMU WA RAIS
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amemaliza ziara yake ya siku 5 mkoani Manyara. Akizungumza kwenye kikao cha majumuisho ambacho kilihudhuriwa na Viongozi na Watendaji wa mkoa huo Makamu wa Rais aliwapongeza kwa kazi nzuri wanayofanya na kuainisha maeneo kadhaa ambayo yanatakiwa kutupiwa …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS AZINDUA JESHI USU LA WANYAMAPORI NA MISITU
Tumieni Sheria Kulinda Vyanzo vya Maji – MAKAMU WA RAIS
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameutaka Uongozi wa mkoa wa Manyara kutumia sheria za mazingira kulinda vyanzo vya maji. Makamu wa Rais ameyasema hayo leo mjini Babati akiwa kwenye ziara ya kukagua na kuhamasisha shughuli za kimaendeleo. “Tumieni sheria ya mazingira inayotaka …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+