Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameendelea na ziara yake ya kukagua na kuhamasisha shughuli za maendeleo na amefanya ziara katika wilaya ya Iramba mkoani Singida. Katika Wilaya ya Iramba Makamu wa Rais alitembelea kiwanda cha muwekezaji mzawa cha kusindika alizeti cha Yaza …
Soma zaidi »UJENZI WA DARAJA LA SIBITI UMEFIKIA ASILIMIA 94.8
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Samia Suluhu Hassan leo ameenndelea na ziara yake ya kukagua na kuhamasisha shughuli za kimaendeleo mkoani Singida ikiwa ni siku ya nne ya ziara mkoani humo. Akizungumza na wananchi waliojitokeza kwenye eneo la mradi wa ujenzi wa Daraja Sibiti, Makamu wa Rais …
Soma zaidi »BANK YA TADB YATOA BILIONI 1.285 KUSAIDIA WAKULIMA WA ALIZETI
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, amepongeza juhudi za Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) kwa kusaidia wakulima wadogo nchini hali inayoongeza uzalishaji na kuwaongezea kipato wakulima hao. Makamu wa Rais aliyasema hayo wakati akikabidhi hundi ya mfano yenye thamani ya Shilingi 1.285 Billioni zilizotolewa na TADB kwa ajili …
Soma zaidi »VITUO VYA AFYA 350 VITAKUWA VIMEKAMILIKA NCHI NZIMA NDANI YA MIAKA TANO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema vituo vya afya 350 vitakuwa vimekamilika nchi nzima ndani ya miaka mitano ya Uongozi wa Awamu ya tano Makamu wa Rais ameyasema hayo leo wakati alipotembelea kituo cha afya cha Sokoine wilayani ya Singida mkoa wa …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS AZINDUA MRADI WA MAJI IKUNGI AMBAO UTAWANUFAISHA WANANCHI 2,628
MAKAMU WA RAIS AANZA ZIARA YA SIKU TANO MKOANI SINGIDA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewasili mkoani Singida na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe. Dkt. Rehema Nchimbi na kupokea taarifa ya mkoa katika ukumbi wa Halmashauri Manyoni. Makamu atakuwa na ziara ya siku 5 mkoani humo.
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI HAFLA YA UTOAJI TUZO YA KISWAHILI
MAKAMU WA RAIS AKISHIRIKI KONGAMANO KUHUSU TATIZO LA DAWA ZA KULEVYA KWA WASANII.
Limeandaliwa na Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za kulevya. Limehudhuriwa wa wasanii wa fani mbalimbali. fuatilia kongamano hili kwa kubofya link hii..
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA PAMOJA YA SMT NA SMZ KUJADILI MASUALA YA MUUNGANO
Video Makamu wa Rais akifungua Mkutano.
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MABALOZI WATATU WAPYA LEO JIJINI DSM
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan leo tarehe 31 Januari, 2019 amekutana na kufanya mazungumzo na Mabalozi kutoka nchi 3 ofisini kwake jijini Dar es Salaam. Balozi wa kwanza kukutana na Makamu wa Rais, alikuwa Mhe. Gaber Mohamed Abulwafa Balozi mpya wa Misri hapa nchini ambaye alifika kwa lengo la …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+