DAWA ZA KULEVYA

USHINDI VITA DHIDI YA KILIMO CHA MIRUNGI TANZANIA

Mafunzo hayo yaliyohudhuriwa na washiriki zaidi ya 80 ikiwemo kamati ya ulinzi na usalama ya Wilaya ya Same, Madiwani, watumishi wa Halmashauri, Watendaji ngazi ya Kata, Vijiji na Vitongoji ambapo mgeni rasmi katika mafunzo hayo alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Same Mhe. Kasilda Mgeni.

Soma zaidi »

Suluhu ya Kukabiliana na Kilimo cha Mirungi yapatikana Wilayani Same ikiongozwa na Mamlaka (DCEA)

DCEA yataja njia sahihi za kukabiliana na adhari zitokanazo na dawa za kulevya_ PCCB na Sekretariati ya MAADILI ya viongozi wa umma yasisitiza uwajibikaji kwa Watendaji na viongozi ngazi ya Wilaya hadi Vitongoji wa umma Halmashauri Same yaainisha mazao mbadala katika kukabiliana na kilimo cha Mirungi Mamlaka ya Kudhibiti na …

Soma zaidi »