Mabalozi wanaoiwakilisha Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nje ya Nchi wameelekezwa kujipanga, kushiriki na kutafuta fursa zitakazowezesha bidhaa mbalimbali za Tanzania kupata masoko ya uhakika katika nchi walizopo. Agizo hilo limetolewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi wakati akizungumza na mabalozi wanaoiwakilisha …
Soma zaidi »Matokeo ChanyA+
VIONGOZI, WASANII NA WANANCHI WATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA HAYATI DKT MAGUFULI KIJIJINI CHATO MKOANI GEITA
Makamanda wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Uwanja wa Magufuli kijijini Chato mkoani Geita leo Machi 25, 20121 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe Hemed Suleiman Abdullah akiongoza wananchi kutoa heshima za mwisho kwa …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU MAJALIWA: HAYATI DKT. MAGUFULI AMEACHA ALAMA HADI VIJIJINI
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli alikuwa kiongozi mahiri na ameacha alama Taifa zima na ndiyo sababu analiliwa na wananchi nchi nzima hadi vijijini. Ameyasema hayo leo (Jumatano, Machi 24, 2021) alipozungumza na wananchi kwenye uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza kabla ya …
Soma zaidi »WANANCHI WA MWANZA WAMUAGA HAYATI DKT. JOHN POMBE MAGUFULI
Msafara wa Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Awamu ya tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli ukipita katika barabara ya Airport kuelekea katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza kwa ajili ya shughuli za kuagwa na maelfu ya Wananchi wa mkoa wa Mwanza na mikoa jirani leo …
Soma zaidi »RAIS WA ZANZIBAR DKT HUSSEIN ALI MWINYI AONGOZA WANANCHI KUUPOKEA NA KUUAGA MWILI WA HAYATI DKT JOHN MAGUFULI MJINI UNGUJA LEO
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein AliMwinyi akiongoza mapokezi ya mwili wa alieykuwa Rais wa Tanzania Dkt.John Pombe Joseph Magufuli katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa waAbeid Amani Karume kabla baadaye kwenda kutoa heshima za mwisho katikaUwanja wa Amaan mjini Unguja leo Machi 23, 2021
Soma zaidi »RAIS SAMIA AONGOZA VIONGOZI WA NDANI NA NJE YA NCHI KUMUAGA ALIYEKUWA RAIS WA TANZANIA HAYATI DKT. MAGUFULI, JIJINI DODOMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akilihutubia Taifa na Viongozi wa Nchi na Serikali kutoka Mataifa mbalimbali Duniani kwenye Mazishi ya Kitaifa ya kuaga Mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Hayati Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Jamhuri JIjini …
Soma zaidi »RAIS SAMIA AONGOZA VIONGOZI NA WANANCHI WA MKOA WA DSM KUAGA MWILI YA JPM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Viongozi na Wananchi wa Mkoa wa Dar es salaam kuaga Mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Hayati Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja …
Soma zaidi »SAMIA SULUHU HASSAN AAPISHWA KUWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akiapishwa na Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Hamis Juma kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kilichotokea tarehe 17 Machi 2021 mkoani Dar es Salaam. Hafla ya …
Soma zaidi »TANZANIA NA CHINA KUENDELEA KUDUMISHA USHIRIKIANO
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Brigedia Jenerali Wilbert A. Ibuge na Balozi wa China nchini Mhe. Wang Ke wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuhitimisha mazungumzo yao yaliyofanyika jijini Dodoma. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na …
Soma zaidi »MAFUNDI SIMU ACHENI KUFUTA IMEI NAMBA – WAZIRI NDUGULILE
Na Prisca Ulomi, WMTH, Arusha Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile amewaasa baadhi ya mafundi simu za mkononi kuacha tabia ya kufuta IMEI namba wanapoletewa simu na wateja wao. Dkt. Ndugulile ameyasema hayo wakati wa ziara yake ya siku ya kwanza mkoani Arusha wakati akizungumza na …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+