Hospitali ya Taifa Muhimbili- Mloganzila, imempatia msaada wa mashine ya kusaidia kupumua (Oxygen Concentrator) Bw. Hamad Awadhi kutokana na matatizo yake ya afya ambayo yanamlazimu kutumia mashine ya oxygen muda wote ili aweze kupumua. Akikabidhi msaada huo Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Hospitali ya Taifa Muhimbili-MNH-Prof. Charles Majinge amesema …
Soma zaidi »Matokeo ChanyA+
BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA KUIPANDISHA DARAJA TANZANIA
Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) inatarajia kuipandisha daraja Tanzania kutoka katika hadhi ya kunufaika na Mfuko wa Maendeleo wa Benki (ADF) hadi kuwa na hadhi itakayoiwezesha Tanzania kuweza kupata rasilimali fedha zaidi kupitia dirisha la African Development Bank (ADB) la Benki ya Maendeleo ya Afrika. Endapo Tanzania itafanikiwa kupandishwa …
Soma zaidi »SERIKALI YAPOKEA GAWIO LA SH. BILIONI MOJA KUTOKA TPB BANK
Hafla ya makabidhiano ya Hundi kifani ya gawio la shilingi Bilioni moja imefanyika jijini Dodoma, kati ya Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb) ambaye alipokea kwa niaba ya Serikali, na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki hiyo Dkt. Edmund Mndolwa. Akizungumza katika hafla hiyo Dkt. …
Soma zaidi »KATIBU MKUU JUMUIYA YA MADOLA AFANYA MAZUNGUMZO NA PROF. KABUDI LONDON,UINGEREZA
Jumuiya ya Madola imeonesha kuridhishwa na namna Tanzania inavyotekeleza mageuzi ya kiuchumi,uwajibikaji na uawala bora kwa wananchi wake jambo ambalo jumuiya hiyo inalihimiza na kulisimamia kwa Nchi wanachama wake. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Bi Patricia Scotland wakati alipokutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI HAFLA YA CHAKULA CHA JIONI KILICHOANDALIWA NA RAIS WA NIGER
TANZANIA KUENDELEA KUNUFAIKA KIUCHUMI NA SADC
Katibu Mkuu Mstaafu Ofisi ya Waziri Mkuu, Bw. Mussa Uledi amesema kuwa Tanzania inanufaika kiuchumi kama mwanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) pamoja na jumuiya nyingine ambazo Tanzania ni mwanachama. Akizungumza wakati akiwasilisha mada leo mjini Morogoro ikiwa ni siku ya pili ya mafunzo kwa waandishi wa …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU ATEMBELEA MJI MPYA WA SERIKALI NCHINI MISRI
NYONGO: SERIKALI IPO MACHO SAA 24 KULINDA RASILIMALI ZA MADINI
Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo amesema Serikali ipo macho masaa 24 katika siku 7 za wiki na itaendelea kuwabaini kuwakamata na kuwatia hatiani watoroshaji wa madini sambamba na kulinda rasilimali hizo, kwa kuwa watoroshaji hao wamekuwa wakiwahujumu Watanzania na kurudisha nyuma maendeleo yao. Akizungumza katika Kongamano baina ya Wadau …
Soma zaidi »LIVE:UZINDUZI WA HIFADHI YA TAIFA YA BURIGI CHATO GEITA
UFUNGUZI WA MAFUNZO YA MSASA KWA MASHAMBA DARASA
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Balozi Joseph Sokoine leo amefungua Mafunzo ya Msasa ya Uwezeshaji kuhusu Mashamba darasa kwa Maafisa viungo wa mradi kutoka Wizara na timu za uwezeshaji za wilaya wa mradi wa kurejesha ardhi iliyoharibika na kuongeza usalama wa chakula katika …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+