



- Kupitia ushirikiano huo, kampuni ya SUPER AGRI TECHNOLOGY itawekeza Dola za Kimarekani Bilioni 1 katika kipindi cha miaka mitano. Katika hafla hiyo kampuni ya TANZANIA AGRICULTURE EXPORT PROCESS ZONE iliwakilishwa na Afisa wa Taasisi ya Sekta Binafsi TPSF Bi Lilian Ndosi

Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+