CP DKT. KYOGO: POLISI WAPO KWA AJILI YA KULINDA USALAMA WENU, USHIRIKIANO MUHIMU KUELEKEA UCHAGUZI

“Polisi wako hapa kwa ajili yenu, siyo kuwafanyia vitisho bali kuhakikisha usalama wenu unadumishwa. Tunahitaji ushirikiano wenu ili kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa amani na uadilifu,” CP Dkt . Ezekieli Kyogo

Aliongeza kuwa, ni muhimu kwa wananchi wote kushirikiana na polisi katika kupambana na uhalifu, hasa katika kipindi hiki cha uchaguzi ambapo baadhi ya watu wenye nia mbaya hujaribu kuvuruga amani. Alisema kuwa, kwa ushirikiano wa karibu kati ya wananchi na polisi, inawezekana kuzuia na kutokomeza kabisa uhalifu wa aina yoyote.

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *