Ahadi zote Tunaona Utekelezwaji Wake, Hasa Miradi Muhimu ya Kujenga Na Kuimarisha Uchumi wa Tanzania

Rais Wa Wa Jamhuri Ya Muungno Wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan Amezungumza Na Wananchi Wa Kijiji Cha Inyonga Kilichopo Wilayani Mlele Mkoani Katavi Baada Ya Kuzindua Kitua Cha Kupooza Umeeme Cha Gridi Ya Taifa Cha Mlele , Ambapo Ameewataka Wananchi Kutunza Mazingira Na Kuacha Kuchoma Misitu Hovyo.

Aidha Baadhi Ya Wananchi Wa Kijiji Cha Inyonga Wameetoa Moani Na Kuichambua Hotuba Hiyo.

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *