“Amani Iliyopo Tanzania Itumike Kuleta Soko la Madini Afrika Nchini Tanzania, kwa Uchumi Imara”.

“Wachimbaji wadogo wanafanya shughuli za uchimbaji kwa kubahatisha na matokeo yake wanatumia muda mwingi na nguvu kubwa na kuambulia kidogo tu kwa hiyo Wizara ya madini inabidi iongeze wigo katika namna bora ya uchimbaji wa madini.”

Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *