MTAMBO NAMBA 8 TOKA KWENYE BWAWA LA KUFUA UMEME LA JULIUS NYERERE UMEWASHWA RASMI

Mtambo namba 8 toka kwenye bwawa la kufua umeme la Julius Nyerere Umewashwa rasmi, na sasa Jumla ya Megawati 470 zinazalishwa toka kwenye bwawa hilo na tayari zimeingizwa kwenye gridi ya taifa.

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *