Kwa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassani, katika siku yako hii ya kuzaliwa, tunakupongeza kwa kuleta nuru, hekima, na mabadiliko katika uongozi wa nchi yetu. Siku ya kuzaliwa kwako ni ishara ya mwanzo mpya na fursa za kuendeleza maadili na maendeleo kwa Watanzania wote. #MSLAC
MatokeoChanya
January 27, 2024
Matokeo ChanyA+, RAIS SAMIA SULUHU HASSAN, Tanzania, Tanzania MpyA+
649 Imeonekana