Waziri Wa Nchi Mhe Mchengerwa Akutana Na Mkurugenzi Mkazi Wa USAID Tanzania

Waziri wa Nchi

@ortamisemitz Mhe. Mohamed Mchengerwa amekutana na kuzungumza na Mkurugenzi Mkazi ‘Mission Director” wa Shirika la Misaada la Watu wa Marekani

@USAIDTanzania,

@craighart kwenye Ofisi ndogo za Wizara zilizopo magogoni jijini Dar es salaam leo

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *