Wachungaji, wageni mbalimbali pamoja na Washarika wa Kanisa Kuu la Azania Front wakishiriki Ibada Maalum ya Kumuingiza Kazini Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa katika Kanisa hilo Jijini Dar es Salaam
MatokeoChanya
January 21, 2024
Matokeo ChanyA+, MKOA WA DAR ES SALAAM, Tanzania
748 Imeonekana