WAZIRI MKUU MAJALIWA AKAGUA SKIMU YA UMWAGILIAJI YA KIWALALA KATIKA HALMASHAURI YA MTAMA Matokeo ChanyA+ October 18, 2019 Taarifa Vyombo vya Habari, Taarifa ya Habari, Tanzania MpyA+, Waziri Mkuu 22 Maoni 1,516 Imeonekana Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua skimu ya umwagiliaji ya Kiwalala katika Halmashauri ya Mtama Mkoani Lindi,wa pili kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Shaibu Ndemanga na wa tatu ni Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye Oktoba 17, 2019 Share Facebook Twitter Stumbleupon LinkedIn Pinterest