Baadhi ya wanafunzi wa shule ya Sister Mary iliyopo,Makurunge Kisarawe Mkoani Pwani.
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imezindua awamu ya kwanza ya ujenzi wa shule maalum kwa watoto wa kike inayosimamiwa na Masisita wa Maria inayoongozwa na Baba Askofu Msataafu Polycarp Cardinal Pengo.
Shule ya Sister Mary ni ya kwanza wa aina yake Afrika ambayo inatoa elimu kwa watoto wa kike kusoma masomo ya darasani na kupata fursa ya kusoma masomo mbalimbali ya ufundi ambapo ndani ya miezi mitatu ya shule imepokea wanafunzi 153
Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo wa katikati na Naibu Katibu Mkuu Wizara vya Eilimu Dkt. Ave-maria Semakafu pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Bi Jokate Mwegelo wakielekea kukata keki wakati wa uzinduzi wa shule ya Sister Mary iliyopo,Makurunge Kisarawe Mkoani Pwani.Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, Balozi wa Korea ya Kusuni Cho Tae – Ick na Naibu Katibu Mkuu Wizara vya Eilimu Dkt. Avemaria Semakafu pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Bi Jokate Mwegelo wakikata keki wakati wa uzinduzi wa shule ya Sister Mary iliyopo,Makurunge Kisarawe Mkoani Pwani.Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo wa tatu toka kushoto akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Bi Jokate Mwegelo wa pili toka kushoto wakijiandaa kukata keki wakati wa uzinduzi wa shule ya Sister Mary iliyopo,Makurunge Kisarawe Mkoani Pwani.Spika Mstaafu Bi Anne Makinda akipanda mti wakati wa uzinduzi wa shule ya Sister Mary iliyopo,Makurunge Kisarawe Mkoani Pwani.Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Bi Joketo Mwegelo akifurahi jambo na Spika Mstaafu Bi Anne Makinda wakati wa uzinduzi wa shule ya Sister Mary iliyopo,Makurunge Kisarawe Mkoani Pwani.Muonekano wa shule ya Sister MaryMuonekano wa shule ya Sister Mary