MAKAMU WA RAIS SAMIA AFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA MADINI 2021

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiangalia Bidhaa mbalimbali za Mapambo alipotembelea maonesho ya Shughuli za Madini katika Kongamano la kimataifa la Uwekezaji katika Sekta ya Madini 2021 lenye lengo la kutangaza fursa za Uwekezaji katika Sekta za Madini ziliopo Nchini  na kuwaunganisha pamoja Wachimbaji na watoa huduma kwenye Shughuli mbalimbali zinazofanyika Migodini. Kongamano hilo la siku tatu lenye kauli mbiu “Sekta ya Madini kwa Uchumi Imara na Maendeleo Endelevu” limefunguliwa leo Febuari 22,2021 katika Kituo cha mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Nyerere JNICC Jijini Dar es salaam. kushoto ni Waziri wa Madini Mhe. Doto Biteko.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiangalia moja ya kifaa kinachotumika kwa Utafiti wa kuweza kujua ubora na uhalisia wa Madini XRF alipotembelea Banda la Tume ya Madini kwenye maonesho ya Shughuli za Madini katika Kongamano la kimataifa la Uwekezaji katika Sekta ya Madini 2021 lenye lengo la kutangaza fursa za Uwekezaji katika Sekta za Madini ziliopo Nchini  na kuwaunganisha pamoja Wachimbaji na watoa huduma kwenye Shughuli mbalimbali zinazofanyika Migodini. Kongamano hilo la siku tatu lenye kauli mbiu “Sekta ya Madini kwa Uchumi Imara na Maendeleo Endelevu” limefunguliwa leo Febuari 22,2021 katika Kituo cha mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Nyerere JNICC  Jijini Dar es salaam. kushoto ni Waziri wa Madini Mhe. Doto Biteko.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua Kongamano la kimataifa la Uwekezaji katika Sekta ya Madini 2021 lenye lengo la kutangaza fursa za Uwekezaji katika Sekta za Madini ziliopo Nchini  na kuwaunganisha pamoja Wachimbaji na watoa huduma kwenye Shughuli mbalimbali zinazofanyika Migodini. Kongamano hilo la siku tatu lenye kauli mbiu “Sekta ya Madini kwa Uchumi Imara na Maendeleo Endelevu” limefunguliwa leo Febuari 22,2021 katika Kituo cha mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Nyerere JNICC Jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikabidhi Tuzo kwa Mwakilishi wa Kampuni ya Geita Gold Mine Tanzania Simon Peter Shayo kwa kutambua mchango wa Kampuni hiyo na kufanya vizuri katika kutekeleza Sheria zinazosimamia Sekta ya Madini na Mchango wa Mlipa Kodi na Wadau walioshiriki vizuri kwa Jamii CSR hapa Nchini, wakati wa Ufunguzi wa Kongamano la kimataifa la Uwekezaji katika Sekta ya Madini 2021 lenye lengo la kutangaza fursa za Uwekezaji katika Sekta za Madini ziliopo Nchini  na kuwaunganisha pamoja Wachimbaji na watoa huduma kwenye Shughuli mbalimbali zinazofanyika Migodini. Kongamano hilo la siku tatu lenye kauli mbiu “Sekta ya Madini kwa Uchumi Imara na Maendeleo Endelevu” limefunguliwa leo Febuari 22,2021 katika Kituo cha mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Nyerere JNICC Jijini Dar es salaam. kushoto ni Waziri wa Madini Mhe. Doto Biteko.

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *