KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA TAIFA YA CCM KINAENDELEA LEO, IKULU CHAMWINO DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kinachoendelea Ikulu Chamwino Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kinachondelea leo Agosti 19, 2020 Ikulu Chamwino Dodoma.
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein wakiwa katika Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kinachondelea leo Agosti 19, 2020 Ikulu Chamwino Dodoma.

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *