UJENZI WA GATI NAMBA 4 & 5 KUKAMILIKA MWEZI JUNI, 2020

B1-01
Ujenzi wa Gati namba 4 na 5 unaendelea kwa kasi ya juu katika Bandari ya Dar es Salaam,Ujenzi wa gati hizo unatarajiwa kukamilika mwezi Juni, 2020. Ujenzi wa gati namba 4 na 5 ni sehemu ya maradi mkubwa wa Dar es Salaam Maritime Gateaway Project (DMGP) wenye lengo la kupanua na kuboresha Bandari ya Dar es Slaam ambapo tayari ujenzi wa gati maalum ya magari, Gati namba 1 mpaka 3 umeshakamilika na Gati hizo zimeanza kutumika
B2-01
Ujenzi wa Gati namba 4 na 5 unaendelea kwa kasi ya juu katika Bandari ya Dar es Salaam,Ujenzi wa gati hizo unatarajiwa kukamilika mwezi Juni, 2020, Ujenzi wa gati namba 4 na 5 ni sehemu ya maradi mkubwa wa Dar es Salaam Maritime Gateaway Project (DMGP) wenye lengo la kupanua na kuboresha Bandari ya Dar es Slaam ambapo tayari ujenzi wa gati maalum ya magari, Gati namba 1 mpaka 3 umeshakamilika na Gati hizo zimeanza kutumika

B3-01B4-01B5-01B6-01

B7-01

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *