Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi maalum ya kumpongeza kwa kufanya ziara yenye mafanikio mkoani Pwani toka kwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo (kushoto) mara baada ya ufunguzi wa wiki ya maonyesho ya Viwanda mkoani Pwani.