- Agawa bure kadi BIMA ya AFYA kwa watu 1,000
- Baadhi wabahatika kupata zawadi mabalimbali ili kukuza uchumi na mtaji ikiwemo bodaboda, mtaji kwa akina mama na nyinginezo.
- Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam awa Mgeni Rasmi na kutoa amri ya kuongeza muda wa buirudaniu kwa siku za wikiendi. Sasa burudani zitaongezeka mpaka saa 8 usiku kwa siku za wikiendi
- Ni katika kumbukumbu ya kuzaliwa kwake.
Msanii wa Kizazi Kipya arudi nyumbani kwao Tandale na kusheherekea kumbukumbu yake ya kuzaliwa pamoja na kawazi wa eneo hilo alikozaliwa na kukulia.
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+