Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu EWURA

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Bw. Felix Ngamlagosi. Bw. Felix Ngamlagosi amesimamishwa kazi kuanzia leo tarehe 11 Juni, 2017.

Gerson Msigwa
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
Dar es Salaam
11 Juni, 2017

Unaweza kuangalia pia

Mazingira yetu, Uhai wetu. Tuyatunze yatutunze

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *