MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA BALOZI SARAH COOKE
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uingereza nchini Mhe. Sarah Cooke. Pamoja na mambo mengine Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Mhe. Sarah Cooke alimpa taarifa Makamu wa Rais juu ya ziara ya Mwanamfalme William wa Uingereza, atakayewasili nchini wiki ijayo kwa ziara …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS AWATAKA WAZAZI KUACHA KUWAPA WATOTO POMBE
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, amewaasa wazazi kuacha kuwapa watoto kilevi pindi wanapotoka kwenda katika shughuli zao,amesema hayo mkoani Kigoma akiwa Katika ziara ya kikazi mkoani humo.
Soma zaidi »KIGOMA: Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu katika kijiji cha Ruchugi, Kitongoji cha Kibaoni, Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu wananchi wa kijiji cha Ruchugi, Kitongoji cha Kibaoni, Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma akiwa njiani kuelekea Kazuramimba kuhutubia mkutano wa hadhara, pamoja na mambo mengine Makamu wa Rais aliwataka wananchi hao kuzingatia lishe bora kwa watoto …
Soma zaidi »Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan awasalimiana Mkoani Kigoma tayari kwa ziara ya kikazi ya siku 4.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brigedia Jenerali Mstaafu Emanuel Maganga mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kigoma tayari kwa ziara ya kikazi ya siku 4. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano …
Soma zaidi »Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, kuanza ziara ya kikazi mkoani Kigoma kwa siku nne.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 8 Septemba, 2018 anatarajiwa kuanza ziara ya kikazi ya kukagua na kuhimiza shughuli za maendeleo mkoani Kigoma kwa siku nne. Mara atakapowasili mkoani Kigoma atapokea Taarifa ya Maendeleo ya Mkoa. Aidha, tarehe 9 Septemba, Makamu …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+