KAMATI YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI YAPONGEZA MRADI WA UMEME WA MAKAMBAKO – SONGEA
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, chini ya Mwenyekiti, Mariamu Ditopile Mzuzuri, imeipongeza Serikali kwa kutekeleza mradi wa umeme wa Makambako- Songea (kV 220) ambao umewezesha Mikoa ya Ruvuma na Njombe kupata umeme wa uhakika kutoka Gridi ya Taifa. Kamati hiyo, imetoa pongezi hizo wilayani Songea, Mkoa …
Soma zaidi »SIKU YA WAPENDANAO YA KIPEKEE TANZANIA
Imefanyika usiku wa siku ya wapendanao (valentine’s day) Iliandaliwa jijini Mbeya Ilihusisha viongozi mbali mbali, wakazi wa mkoa wa Mbeya, mikoa jirani sambamba na wapendanao walioongozwa na Mhe. Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzani, Dkt. Tulia Akson Waliafikiana kuisaidia ujenzi wa nyumba, malazi, kuwaonyesha …
Soma zaidi »LIVE: KUTOKA BUNGENI DODOMA, TAARIFA ZA KAMATI
LIVE:KUTOKA BUNGENI, MASWALI KWA WAZIRI MKUU
LIVE: KUTOKA BUNGENI DODOMA
LIVE: Bunge la 11, Kikao cha Tano MASWALI na MAJIBU
KAGERA YATENGEWA HEKTA 58,000 KWA AJILI YA VIWANDA
Serikali imeeleza kuwa mikakati inayoendelea kutekelezwa na kuratibiwa katika Mkoa wa Kagera ni pamoja na kutenga maeneo ya uwekezaji yenye ukubwa wa hekta 58,000 kwa ajili ya kuanzisha viwanda vya kusindika na kuongeza thamani ya mazao ya kilimo (Agro Processing Industries) hususani viwanda vya kusindika nyama, maziwa, asali, ndizi, miwa, …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+