Recent Posts

Serikali Imejipanga Kila Eneo – Makamu wa Rais

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema hakuna Maendeleo pasipo Utawala bora. Makamu wa Rais amesema hayo wakati alipokuwa akiwahutubia wananchi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Mwanga mkoani Kilimanjaro. “Viongozi wa Halmashauri, Viongozi wa Wilaya wasipokuwa na Utawala bora, wasiposhirikiana, Chama, Serikali, Wilaya, …

Soma zaidi »

WATALAAM KUTOKA MUHIMBILI WAWASILI LINDI KUTOA HUDUMA ZA AFYA

Madaktari Bingwa 11 pamoja na wataalam wengine wa afya kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili(MNH) wamewasili katika Hospitali ya Rufaa mkoa wa Lindi Sokoine kwa ajili ya kutoa huduma mbalimbali za afya kwa wananchi wa mkoa huo sanjari na kuwajengea uwezo wataalam wa hospitali hiyo. Daktari Bingwa wa magonjwa ya kike …

Soma zaidi »

FINALLY; WALIOMTEKA MO WATAMBULIKA KWA MAJINA!

Ni raia wawili wa Afrika ya Kusini.. wapelelezi watambua majina yao na walipokuwa wakiishi jijini Dar es Salaam kwa muda wa miezi kadhaa. Walifikia hotel ya Whitesands na kisha kupanga nyumba eneo la Mbezi Beach kama wafanyabiashara wa Madini. Nyumba na chumba waliomfungia mfanyabiashara huyo wapelelezi mahiri wa vyombo vya …

Soma zaidi »

RAIS DKT. MAGUFULI AKAGUA MAGARI YA JESHI YATAKAYOSAFIRISHA KOROSHO.

Asisitiza yeye na serikali awamu ya tano, HATINGISHWI! Alitaka Jeshi la Wananchi kuwa tayari kwa oparesheni Korosho kuanzia Jumatatu jioni tarehe 12 Novemba, 2018. Aeleza kuwa serikali ina fedha yote ya kununua korosho yote iliyozalishwa katika msimu wa kilimo. tazama hotuba za utangulizi na hotuba ya Mhe. Rais kabla ya …

Soma zaidi »