Recent Posts

WAZIRI KAMWELWE AZINDUA BODI MPYA YA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe amezindua Bodi mpya ya Shirika la Posta Tanzania (TPC). Uzinduzi huo umefanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa jengo la Makao Makuu ya Bandari, Dar es Salaam Wakati akizundua bodi hiyo, kamwelwe amesema kuwa ana imani na bodi hiyo kwa kuwa itaimarisha …

Soma zaidi »

TANZANIA NA CHINA ZATOA TAMKO LA PAMOJA

Serikali ya Tanzania na China zimetoa tamko la pamoja kuhusu hali za watanzania walioko nchini China na hatua zinazochukuliwa na nchi hiyo kukabiliana na virusi vya Corona. Tamko hilo la pamoja limetolewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) pamoja na …

Soma zaidi »

LIVE: HAFLA YA UAPISHO WA VIONGOZI WATEULE – IKULU DSM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 03 Febuari, 2020 anawaapisha viongozi wateule wafuatao A. MAKATIBU WAKUU 1. Bi. MARY GASPER MAKONDO – kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Kabla ya uteuzi huo Bi. Mary Gasper Makondo alikuwa …

Soma zaidi »

SERIKALI INATARAJIA KUJENGA MINARA 5 YA MAWASILIANO WILAYANI MAFIA

Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mh. Injinia Atashasta Nditiye (Mb.) amezindua mnara wa Mawasiliano katika kijiji cha Chunguruma kilichoko Kata ya Ndagoni Wilaya ya Mafia. Kijiji hicho na maeneo jirani havikuwa na usikivu wa mawasiliano ya simu za mkononi kwa muda mrefu. Akizungumza katika uzinduzi huo, Mbunge wa Wilaya …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI WA VIONGOZI

Rais  Dkt. John  Magufuli leo tarehe 31 Januari, 2020 amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali wa Wizara, Mahakama, Mikoa na Majeshi. Katibu Mkuu Kiongozi, Mhe. Balozi John Kijazi amewataja walioteuliwa kama ifuatavyo; Wizara. Rais Magufuli amemteua Bi. Mary Gasper Makondo kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI SHONZA: WAZAZI NDIYO WALEZI WA KWANZA WA MTOTO

Naibu Waziri Wizara ya Habari Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Juliana Shonza amewataka wazazi na familia kuwa walezi wa kwanza kwenye jukumu la kumlea mtoto. Mheshimiwa Shonza ametoa kauli hiyo leo Bungeni jijini Dodoma alipokuwa akijibu swali la  Mbunge wa Viti Maalum Mhe.Mgeni Jadi Kadika (CUF) lilikokuwa likisema serikali haioni sasa ni …

Soma zaidi »