Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mussa Sima akitoa maelekezo kwa Bw. Vanika Ndelekwa Mkuu wa Idara ya Mazingira wa Jiji la Mbeya mara baaada ya Naibu Waziri Sima kutembelea dampo la Nsagala Jijini Mbeya Halmashauri ya Jiji la Mbeya imeagizwa kuanzisha programu maalumu ya kutoa …
Soma zaidi »Makamu wa Rais
August, 2020
-
12 August
NAIBU WAZIRI SIMA AKAGUA KIWANDA CHA TBL MBEYA
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Sima akipata maelezo ya shughuli za uendeshaji wa Kiwanda cha Bia Mbeya kutoka kwa Bw. Emmanuel Sawe Meneja Mkuu wa Kiwanda hicho. Kushoto ni Prof Esnat Chaggu Mwenyekiti wa Bodi – Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi …
Soma zaidi » -
12 August
NAIBU WAZIRI MABULA AWATAKA WATENDAJI ARDHI KUTOA ELIMU YA SHERIA MPYA YA FEDHA KUHUSU UMILIKISHAJI ARDHI
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akizungumza na viongozi pamoja na watendaji wa sekta ya ardhi katika wilaya ya Biharamulo katika ziara yake ya kikazi mkoani Kagera. Kushoto kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Biharamulo Kanali Mathias Kahabi jana. Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba …
Soma zaidi » -
11 August
NAIBU WAZIRI SIMA AAGIZA WACHIMBAJI WADOGO KUSAJILIWA
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Sima akiongea na Mkuu wa Wilaya ya Songwe Bw. Samuel Jeremia Opulukwa (wa pili kushoto) wakati wa ziara ya kikazi ya kukagua shughuli za uhifadhi wa Mazingira katika Wilaya hiyo. Kulia ni Prof Esnat Chaggu Mwenyekiti wa Bodi …
Soma zaidi » -
10 August
MGANGA MKUU WA SERIKALI AWAAGIZA WAGANGA WAKUU WA MIKOA NA WILAYA KUONGEZA JITIHADA KATIKA KUPUNGUZA VIFO VYA MAMA NA MTOTO.
NA WAMJW- KILIMANJARO Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi ameagiza ndani ya miezi sita (6) Waganga Wakuu wote wa mikoa, Waganga Wakuu wa Wilaya na Waganga wafawidhi wa hospitali zote nchini kuongeza kasi katika kupunguza zaidi vifo vya mama na mtoto kwa kuboresha huduma na usimamizi katika maeneo yao. …
Soma zaidi » -
10 August
TUFANYE KAZI KWA USHIRIKIANO ILI KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA NCHINI – DKT GRACE MAGEMBE
Na WAMJW- ARUSHA Mkurugenzi wa tiba Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Grace Magembe ametoa wito kwa Watoa huduma za Afya wote nchini kufanya kazi kwa kushirikiana baina yao na viongozi wao ili kuboresha huduma za afya nchini. Dkt. Grace, ametoa wito huo wakati alipofanya …
Soma zaidi » -
10 August
MKUTANO WA 40 WA SADC KUFANYIKA JIJINI DODOMA
Mkutano wa 40 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), unaotarajiwa kufanyika tarehe 17 Agosti, 2020 kwa njia ya mtandao (video conference) Ikulu Chamwino Jijini Dodoma. Akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na …
Soma zaidi » -
10 August
NAIBU WAZIRI MABULA ATAKA MIKAKATI KUKAMILISHA UJENZI MRADI HOSPITALI YA KWANGWA
Na Mwandishi Wetu, MUSOMANaibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amelitaka Shirika la Nyumba la Taifa, Wizara ya Afya pamoja na Mshauri Mwelekezi wa mradi Chuo Kikuu cha Ardhi kukutana na kupanga mikakati kuhakikisha ujenzi mradi wa Hospitali ya Rufaa mkoa wa Mara (KWANGWA) unakamilika kwa …
Soma zaidi » -
7 August
NAIBU WAZIRI NYONGO AZITAKA BENKI KUSHIRIKIANA NA WIZARA KATIKA KUKUZA UCHUMI WA MADINI
Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo akizungumza jambo na wafanyakazi wa benki ya CRDB wakati wa ufungunzi wa mafunzo ya ushirikiano kati ya Wizara ya Madini na benki hiyo iliyofanyika Agosti 6, 2020 jijini Dodoma Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo azitaka Benki zilizopo nchini kushirikiana na Wizara ya Madini …
Soma zaidi » -
7 August
SADC NGAZI YA MAKATIBU WAKUU WAJADILI, KUBORESHA RASIMU ZA NYARAKA ZA KISERA NA KIMKAKATI
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ngazi ya Makatibu Wakuu wamekutana na kujadili rasimu ya mpango mkakati elekezi mpya wa maendeleo wa kanda (2020 – 2030) pamoja na rasimu ya dira ya SADC (2020 – 2050) kwa njia ya (Video Conference) jijini Dar …
Soma zaidi » -
7 August
MAKAMU WA RAIS SAMIA AKUTANA NA MENEJIMENTI YA OFISI YAKE
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Menejimenti ya Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira katika kikao kazi kilichofanyika leo Agosti 07,2020 katika Ofisi ya Makamu wa Rais Mtumba Jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) Makamu wa …
Soma zaidi » -
6 August
MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT MAGUFULI AONGEA NA WANACHAMA WA DODOMA BAADA YA KUCHUKUA FOMU ZA KUGOMBEA URAIS
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri yaMuungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikongea na wanachamawa CCM wa Dodoma baada ya kutoka kuchukua fomu hizo za kugombea Uraiskutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi jijini Dodoma leo Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri yaMuungano wa …
Soma zaidi » -
6 August
RAIS DKT. MAGUFULI ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS KWA TIKETI YA CCM KATIKA OFISI ZA MAKAO MAKUU YA TUME YA UCHAGUZI NEC NJEDENGWA JIJINI DODOMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhiwa Begi leye Fomu ya Kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020 na Mwenyekiti wa Tume …
Soma zaidi » -
6 August
MIFUMO YA FEDHA KWA NJIA YA KIELEKTRONIKI NI MUAROBAINI WA RUSHWA
Na. Peter Haule na Farida Ramadhani, WFM, Simiyu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa, amewataka Watanzania kutambua umuhimu wa mifumo ya fedha iliyoanzishwa na Serikali kwa lengo la kupunguza vitendo vya rushwa na kuweka mazingira mazuri ya utawala bora. Waziri Bashungwa amesema hayo alipotembelea Banda la Wizara ya …
Soma zaidi » -
6 August
RAIS MAGUFULI ATAJA SABABU ZA KUOMBA TENA KUGOMBEA URAIS
Rais Dkt. John Magufuli amesema kuwa suala lililomfanya kuchukua fomu ya kugombea muhula wa pili ni kuendelea kuwatumikia watanzania kwa kuendelea na kazi aliyoianza. Rais Magufuli amesema hayo wakati akizungumza na wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Ofisi za CCM makao Makuu mjini Dodoma mara baada ya kutoka kuchukua …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+