Na Mwandishi Ifakara Wakulima wa zao la Kokoa Mbingu Wilayani Kilombero mkoani Morogoro wamenufaika na uwezeshaji kutoka Shirika la Africa WildLife lililowezesha kuongeza thamani ya zao la Kokoa kutoka kuandaa miche mpaka uzalishaji. Hayo yamebainishwa na wanufaika hao wakati wa zoezi la ufuatiliaji wa utekelezaji wa miradi inayotekelezwa na Mashirika …
Soma zaidi »SERIKALI KUONGEZA IDADI YA NDEGE KUBEBA MINOFU YA SAMAKI
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, akizungumza na Naibu Waziri wa Kilimo, Omary Mgumba, wakati wa mkutano wa pili wa kujadili namna ya kurahisisha usafirishaji wa minofu ya samaki kutokea Kiwanja cha Ndege cha Mwanza uliofanyika jijini Dodoma. Serikali imewaahidi wafanyabiashara wa minofu ya samaki kuongeza idadi …
Soma zaidi »WAFANYABIASHARA KANDA YA ZIWA WATAKIWA KUZALISHA ZAIDI
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe amewataka wafanyabiashara wa ukanda wa Ziwa Victoria kuongeza uzalishaji wa bidhaa za samaki, matunda, nyama na mbogamboga ili kuwezesha uwepo wa safari za uhakika za ratiba kwa mashirika ya ndege kutoka nje ya nchi kupitia mkoa wa Mwanza. Akizungumza mara baada …
Soma zaidi »WAZIRI HASUNGA ATANGAZA MAZAO YATAKAYOUZWA KWENYE MFUMO WA STAKABADHI GHALANI
Serikali imetangaza rasmi mazao ya kuanzia yatakayouzwa kupitia mfumo maalumu wa uuzaji wa mazao wa Stakabadhi ghalani. Mazao hayo ni pamoja na zao la Korosho ambalo limekuwa na mafanikio makubwa kupitia mfumo huo, mazao mengine ni Ufuta ambao utauzwa kwa mfumo huo katika baadhi ya maeneo nchini. Waziri wa Kilimo …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+