Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Sarah Masasi ambaye ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Kiwanda cha Kusafisha Dhahabu cha Geita Gold Refinery kilichopo Mjini. Geita baada ya kukitembelea kiwanda hicho, Septemba 22, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata Maelezo kutoka kwa Meneja Uendeshaji wa …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU MAJALIWA: VIJIJI VYOTE NCHINI KUPATIWA HUDUMA YA MAJI
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ameweka mikakati madhubuti unayolenga kumaliza tatizo la upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama katika vijiji vyote nchini vikiwemo vya wilaya ya Bukoba mkoni Kagera. Amesema Serikali inaendelea kutekeleza kampeni ya Rais Mheshimiwa Samia ya kumtua mama ndoo kichwani …
Soma zaidi »MRADI WA UMEME RUSUMO KUUNGANISHA MIKOA YA KAGERA, KIGOMA, RUKWA NA KATAVI KWENYE GRIDI YA TAIFA – MAJALIWA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema mradi wa kuzalisha umeme wa kikanda wa Rusumo utakuwa mkombozi kwa wananchi wa mikoa ya Kagera, Kigoma , Rukwa na Katavi kwani utazalisha umeme wa uhakika utakaowezesha Mikoa hiyo kuunganishwa na gridi ya taifa. Mradi huo unaotekelezwa kwa kuzingatia makubaliano ya Kiserikali ya nchi za …
Soma zaidi »MAJALIWA AMSIMAMISHA KAZI AFISA MANUNUZI WILAYA YA KARAGWE
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi Afisa Manunuzi wa Wilaya ya Karagwe Bw. Yesse Kaganda baada ya kutoridhishwa na viwango vya ubora wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Karagwe ambayo imejengwa kwa gharama ya shilingi bilioni 2.5. “Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kila wakati anasisitiza usimamizi mzuri wa fedha …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI MKUU
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango, hii leo Septemba 15,2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa. Mazungumzo hayo yamefanyika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.
Soma zaidi »WAZIRI MKUU MAJALIWA: NIMERIDHISHWA NA HATUA YA UJENZI WA RELI YA SGR
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekagua mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kipande cha Dar es Salaam hadi Kilosa, Mkoani Morogoro na kusema kwamba ameridhishwa na hatua ya ujenzi iliyofikiwa. “Rais Samia Suluhu Hassan amedhamiria kukamilisha ujenzi wa miradi yote iliyoanzishwa, hivyo Watanzania waendelee kuwa na imani na Serikali …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU MAJALIWA: MAWAZIRI SIMAMIENI UJENZI WA OFISI ZENU MJI WA SERIKALI
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewaagiza Mawaziri na Makatibu Wakuu wasimamie kikamilifu awamu ya pili ya mpango wa ujenzi wa Mji wa Serikali ulipo Mtumba jijini Dodoma ili ukamilike kwa wakati. Ametoa agizo hilo leo (Jumatano, Septemba 8, 2021) wakati akiongoza Kikao Kazi cha Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu, Naibu Katibu Wakuu …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU MAJALIWA: MARA WEKENI MKAKATI WA KUITANGAZA MBUGA YA SERENGETI
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa Mkoa wa Mara na Watendaji katika Sekta ya Utalii wabadilike na waweke mkakati wa kuitangaza mbuga ya Serengeti ili kuweza kuvutia zaidi watalii na kuitambulisha mbuga hiyo kuwa iko mkoa humo. Amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan …
Soma zaidi »MAJALIWA AAGIZA UCHUNGUZI WATENDAJI WIZARA YA FEDHA
Waziri Mkuu, Mheshimwa Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi Mkaguzi Mkuu, Mkaguzi Msaidizi pamoja na baadhi ya watendaji wa Wizara ya Fedha na Mipango ili kupisha uchunguzi wa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha za umma zinazowakabili. Akizungumza katika Kikao Kazi na Waziri wa Fedha na Mipango, Kaibu Mkuu,Manaibu Katibu Wakuu na Watendaji Waandamizi wa Wizara …
Soma zaidi »MAJALIWA – WATENDAJI SEKTA YA MAJI FANYENI KAZI WA UZALENDO
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka viongozi na watendaji wote wa sekta ya maji nchini kufanya kazi kwa uzalendo, bidii na weledi na kwa kutanguliza maslahi mapana ya nchi. Amesema lengo ni kuhakikisha kuwa kiwango cha upatikanaji wa huduma ya maji nchini kinaongezeka ili kufikia malengo ya kufikisha maji kwa kiwango cha …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+